Makunyanzi na mvi vinatishia uzuri wangu

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi.
Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35.
Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50.
Ndoto yangu ni kuendelea kuwa mrembo hata ntakapofika miaka 75.
Najua kwa umri huo hata nikiwa na makunyanzi na mvi, umbo langu litakuwa kama nilivyo sasa. Hips za ukweli, kiuno kudogo na mzigo wa kichokozi nyuma.
Nikifikiria uzee najihisi kuchanganyikiwa.
CC: Madame B unayetaka watu8 aje kukupa huduma za massage nyumbani kwako
 
Last edited by a moderator:

kumbe bado mdogo hivyo ulishaanza kuwazia mvi? pole ila omba Mungu akupe afya njema, mvi ni jambo la kawaida, makunyanzi kwa umri wa 40 sio kweli.
 
^^
Hakuna kioo kilichowahi kuonyesha sura mbaya ya mwanamke
^^
 

Kuna plastic/reconstructive/cosmetic surgeries....Dolly Parton kibibi lakini ukimuona kama ndo katoka mkoleni jana..worry not, do those and 'forever young' you will be!
 
Do not worry always be happy; hautapata makunyanzi maisha yako yote!!!
 
Nazjaz uzee haukwepeki atii...
 
Last edited by a moderator:

mbona kitu kitalika tu bila tabu kabisa?
 
Ah...kumbe ni promotion(tangazo) @ work,Vp wameku PM wangapi kwa promo hiyo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani Nazjaz usikonde, kuna mbunge wa CCM ana manii ambazo ukipaka huzeeki kamwe, cheze Nkasi wewe, uchawi mwanzo mwisho
 
Last edited by a moderator:
Nazjaz usiogope mwaya, mbona wenzako huku wanakula maisha bila wasiwasi.
 
usiogope bhana, ng'ombe hajawahi kuzeeka maini, hio ngozi usijali sio ishui kivile, kikubwa maini
 

Hahaha Nazjaz my dear, njoo tujiunge gym na massage ili tuondoe makunyanzi my dear.
 
Last edited by a moderator:
Umba mungu akupe afya na akuepushe na kila ajali na maradhi,vyengine sio tatizo kabisa hakuna kisichowezekana chini ya jua.
 

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…