Makunyanzi na mvi vinatishia uzuri wangu

Dunia mapito kwahiyo usiumize kichwa sasa usipozeeka wadogo nao hawatokua, kubali kila hatua ya maisha yako utoto, utu uzima na mwisho uzee kama utafika.
 
Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi.
Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35.
Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50.
Ndoto yangu ni kuendelea kuwa mrembo hata ntakapofika miaka 75.
Najua kwa umri huo hata nikiwa na makunyanzi na mvi, umbo langu litakuwa kama nilivyo sasa. Hips za ukweli, kiuno kudogo na mzigo wa kichokozi nyuma.
Nikifikiria uzee najihisi kuchanganyikiwa.
CC: Madame B unayetaka watu8 aje kukupa huduma za massage nyumbani kwako
Shangazi pole sana beauty expires too!
 
It's Innevitable
 
Attachments

  • Screenshot_20240606-155456.jpg
    Screenshot_20240606-155456.jpg
    387.1 KB · Views: 2
Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi.
Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35.
Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50.
Ndoto yangu ni kuendelea kuwa mrembo hata ntakapofika miaka 75.
Najua kwa umri huo hata nikiwa na makunyanzi na mvi, umbo langu litakuwa kama nilivyo sasa. Hips za ukweli, kiuno kudogo na mzigo wa kichokozi nyuma.
Nikifikiria uzee najihisi kuchanganyikiwa.
CC: Madame B unayetaka watu8 aje kukupa huduma za massage nyumbani kwako
Mie nina mamvi. Wanaume watakaokukataa na mamvi na makunyanzi yako ACHANA NAO. TUWASILIANE MREMBO NIKUPENDE.
 
Back
Top Bottom