Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa usipozeeka wadogo nao hawatokua,
mbona unaharibu pozi?je ukifa leo?unawaza utakuwa wapi?
.... kama kiongozi hatoweza ng'atuka hadi siku atakayouacha ulimwenguHuyu hataki kukabidhi kijiti naona.....
Shangazi pole sana beauty expires too!Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi.
Ngozi yangu haitakuwa kama leo, ntakuwa na miaka 35.
Miaka 35 inabakiza miaka 15 tu niwe na miaka 50.
Ndoto yangu ni kuendelea kuwa mrembo hata ntakapofika miaka 75.
Najua kwa umri huo hata nikiwa na makunyanzi na mvi, umbo langu litakuwa kama nilivyo sasa. Hips za ukweli, kiuno kudogo na mzigo wa kichokozi nyuma.
Nikifikiria uzee najihisi kuchanganyikiwa.
CC: Madame B unayetaka watu8 aje kukupa huduma za massage nyumbani kwako
Mie nina mamvi. Wanaume watakaokukataa na mamvi na makunyanzi yako ACHANA NAO. TUWASILIANE MREMBO NIKUPENDE.Najionea huruma sana nikifikiria kuwa miaka mitano ijayo nitakuwa na mvi na makunyanzi.