Makuwadi wa kuuza Bandari wanajaribu kutusahaulisha kupitia michezo

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na upinzani mkali.

Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.

Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.

Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.

Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa 🏟.
 
Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na ipinzani mkali.

Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa [emoji909].
Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na ipinzani mkali.

Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.

Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.

Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.

Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa 🏟.
Ili wajue kwamba waTanzania hawasahau bandari zao," MABANGO YA BANDARI" yawazomee hao viongozi uwanjani hapo.
 
Hawawezi kutusahaulisha, bandari zetu watanganyika ni haki yetu, tena bila kujali matokeo yoyote ya hukumu ya kesi itakayotajwa kesho mahakamani Mbeya.

Bandari zetu ni haki yetu, tuliachiwa urithi na wazee wetu, nasi ni jukumu letu kuzilinda. Kesho iwe iwavyo, haki ya mtanganyika kumiliki rasilimali aliyopewa bure na muumba itaendelea kubaki pale pale, haki hiyo haipo mahakamani.

Mahakamani walienda kutafsiri sheria pekee, lakini haki ya umiliki wa bandari zetu imetoka kwa muumba wetu, aliyeziumba mbingu na ardhi, na wala sio hakimu wa mahakamani.
 
Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na ipinzani mkali.

Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.

Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.

Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.

Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa 🏟.
Na mie nimepewa mgao wangu wa kuuzwa bandari, vipi wewe?

1691337146624.png
 
Hawawezi kutusahaulisha, bandari zetu watanganyika ni haki yetu, tena bila kujali matokeo yoyote ya hukumu ya kesi itakayotajwa kesho mahakamani Mbeya.
Matokeo ya kesho Yako upande wa wazalendo, hawana pa kupigia chenga.

Tusubiri.
 
Mbona tushasahau alichoongea .Tunakumbuka bandatu
 
Hawawezi kutusahaulisha, bandari zetu watanganyika ni haki yetu, tena bila kujali matokeo yoyote ya hukumu ya kesi itakayotajwa kesho mahakamani Mbeya.
Masikini, mnatia huruma. Wazanzibari wamewapiga bao?

Mama Burdaaan anashangilia bao la simba sasa hivi.
 
Back
Top Bottom