Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.[emoji419][emoji375]Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na ipinzani mkali.
Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.
Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.
Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.
Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa [emoji909].
Ili wajue kwamba waTanzania hawasahau bandari zao," MABANGO YA BANDARI" yawazomee hao viongozi uwanjani hapo.Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na ipinzani mkali.
Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.
Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.
Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.
Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa 🏟.
Na mie nimepewa mgao wangu wa kuuzwa bandari, vipi wewe?Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na ipinzani mkali.
Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.
Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.
Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.
Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa 🏟.
Matokeo ya kesho Yako upande wa wazalendo, hawana pa kupigia chenga.Hawawezi kutusahaulisha, bandari zetu watanganyika ni haki yetu, tena bila kujali matokeo yoyote ya hukumu ya kesi itakayotajwa kesho mahakamani Mbeya.
Masikini, mnatia huruma. Wazanzibari wamewapiga bao?Hawawezi kutusahaulisha, bandari zetu watanganyika ni haki yetu, tena bila kujali matokeo yoyote ya hukumu ya kesi itakayotajwa kesho mahakamani Mbeya.
Pole sana kwa kupigwa na Wazanzibari, inauma eenh?Ngongo ni mzalendo number one hawezi kuuza nchi kwasababu zozote.
DP World ni kama Mandonga, ukishinda ukishindwa mshindi ni Mandonga tu.Matokeo ya kesho Yako upande wa wazalendo, hawana pa kupigia chenga.
Tusubiri.
Ukizowea itaacha kuuma, vumilia kidogo.Saaaana kamwe hatuwezi kusahau.
Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na upinzani mkali.
Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.
Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na Simba Day.
Kesho jambo letu liko pale pale Bandari zetu mustakabali wetu.
Ngongo kwasasa Benjamin Mkapa 🏟.
Huna hoja,subiria DP World aje amimine mapesaAnalilia uteuzi bure kabisa.