Makuwadi wa kuuza Bandari wanajaribu kutusahaulisha kupitia michezo

Hajavaa miwani nyeusi kwa aibu?
 
Kwa akili za hii serikali wananchi inabidi kuwa macho kwelikweli. Hopefully TISS watakuwa upande wa wazalendo.
 
Eti bandari zenu!
Unaijua ht bandari wewe?
Endeleeni hivyo hivyo wala msisahaulishwe kwenye hili la bandari. Lkn wakati nyie mmekomaa na bandari wenzenu wanaendelea na mipango yao.
 
Hatuwezi kupoa tena
. bandari zetu
Kwenye bandari hatupoi,ni kichaa pekee anaweza kusahaulishwa na tamasha
 
Samia anawaona waarabu km wajomba zake watakaokuja kutangaza uislam iyo ndio ajenda ya samia
 
katiba mpya ilete Tanganyika ili tuzidai pia Loliondo na Ngorongoro kutoka utawala wa mwarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…