Makuzi: Kilio cha 50 Cent kwa mwanaye

Nimesoma katikati ya neno nilikuwa najiuliza hii jeuri mtoto anaitoa wapi??? Kumbe mama ndiye sababu. Na kwa vile mtoto kalelewa na mama ni ngumu sana kumbadilisha labda uanze kumbadilisha mama yke. Kma mama anafikia hatua anasema wewe ni mtoto wa 50cent unastahili bora zaidi ya hicho. unategemea nini?? Mtoto zake ni bata tu.. hpo aliposema atakata mrija wa pesa hpo ndo penyewe
 
Mahusiano ta ndoa na familia yana changamoto nyingi sana..hekima kubwa isipotumika madhara ni makubwa mbeleni
 
wao wana mipango yao kichwani, atajifanya anakusikiliza kumbe bureee
 
Baba angu mzazi alitufundisha tangu tukiwa watoto wadogo kutafuta vya kwetu.
Kusukuma mkokoteni, kukata majani, kumwagilia tofali ie.saidia fundi, kulima shambani, kuamshwa asubuh asubuh na kufagia uwanja na kumwagilia maua.
Mzee wangu kila mtoto wake amemjengea nyumba nzurii TU Ila huwaga hata hatuzitolei macho Wala nini mpaka Sasa japo hati na everything zinasoma majina yetu Ila still anachukua Kodi mwenyewe ujue Kuna jinsi ya kulea watoto ili wawe independent sio unalea mtoto Kama yai.

Mtoto ukishindwa kumlea na kumfundisha kua muwajibikaji ni Bomu hatari zaidi watoto wa single mothers πŸ’”
 
Tumia akili soma tena ..kama unayo akili utaelewa...au na wewe ndiyo mpumbavu unao waambia watoto wako wewe ni kaji mungu furani wakuabudu
Mkuu,
Mbona Kama hoja yako hujaeleweka jitahid kupangulia uandishi mzur iwe rahisi kukuelewa.

Nimeshauri kwa Nia njema.
 
Amekudanganya vya kwenu ni vya wazazi wako ..vya kwako nivya watoto wako...baba yako ni mpuuzi anapotosha vizazi na kizazi alitakiwa kukuambia tafuta vya watoto wako kama unayo familia au mpango wa kuwa na familia
 
Noma sana!
 
Uwo ni mzgo wake abebane nao tu
Suala la yeye kutopana nafasi kipind yuko mtoto sio point
 
Wewe ni aina ya watu wa hovyo Sana kuwai kutokea.

Your too Naive.
NB.
"IF YOU CAN USE THIS ENERGY FOR YOUR LIFE, THEN YOU WILL NOT BEGINNING FOR FOOD."

Nikiendeleza mjadala na wewe mwendesha mashitaka mkuu wa serikali anifungulie mashitaka ya kuto kutumia akili vizuri.
Amekudanganya vya kwenu ni vya wazazi wako ..vya kwako nivya watoto wako...baba yako ni mpuuzi anapotosha vizazi na kizazi alitakiwa kukuambia tafuta vya watoto wako kama unayo familia au mpango wa kuwa na familia
 
Mbona hii namna inakinzana na instict personal right of ownership? Ukiweka mali zako chini ya umiliki wa kampuni bado wanahisa wanakuwa na mbinu nyingi za kukupora umiliki wa hizo mali.
 
Mbona hii namna inakinzana na instict personal right of ownership? Ukiweka mali zako chini ya umiliki wa kampuni bado wanahisa wanakuwa na mbinu nyingi za kukupora umiliki wa hizo mali.
Wanawezaje kukupora wakati Kila mtu anatambulika kupitia hisa zake.

Testar hisa 55%
Grahams hisa 45%

Kwahiyo kwenye hiyo 45% yangu ndiyo nimeziweka na hizo nyumba zangu.

Itakapotokea wanauza hisa za Kampuni basi watalipa kulingana na Thamani halisi
 
Kwenye biashara nyingi fujo nyingi hutendeka kufanya breakthruo to the top!
 
Hate ya Mke kwa Mume wake anamwambukiza hadi mtoto wao. Upumbavu ambao huwa naushangaa sana... Pole sana 50 Cent kwa situation hiyo ma bro
 
Kwenye biashara nyingi fujo nyingi hutendeka kufanya breakthruo to the top!
Ni sahihi umesema, japo muktadha wa hoja yangu ni uwepo wa hiyo mbinu ya kulinda mali kupitia njia complex kidogo kupitia Kampuni.

Njia hii inaweza kusaidia kulinda mali dhidi ya ndugu ambao baada ya Kifo chako wanaweza kujitokeza kutaka kuwadhulumu watoto wako ama Mkeo wakati mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…