Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Mmesoma hili Bandiko la Mshana Jr 😆😆😆😆You can feel this pain.. View attachment 3143824
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmesoma hili Bandiko la Mshana Jr 😆😆😆😆You can feel this pain.. View attachment 3143824
wao wana mipango yao kichwani, atajifanya anakusikiliza kumbe bureeeaIsee kumbe unaujua uhalisia wa hawa watu,mimi nimeshafikisha mpaka wawili,tukiwa kwenye mahusiano nawaambia kabisa kuwa kwasasa sipo tayar kuwa na mtoto lakin cha ajabu unashangaa mtu ameshakuingiza kwenye kumi na nane zake
Nilichogundua sasa mwanamke ukiwa nae usitegemee kwamba akili zake zinaweza kukusaidia kwenye mipango yako na usimwamin mwanamke anachokisema,kila kitu mwanaume unatakiwa ukiamue wewe
Mkuu,Tumia akili soma tena ..kama unayo akili utaelewa...au na wewe ndiyo mpumbavu unao waambia watoto wako wewe ni kaji mungu furani wakuabudu
mimi mbona na 32 na nmetoka kula hapa chakula cha mama na ananipa pesa ya mavazi nakula bure nalala bure.Miaka 27 bado anahudumiwa na mzazi?
Amekudanganya vya kwenu ni vya wazazi wako ..vya kwako nivya watoto wako...baba yako ni mpuuzi anapotosha vizazi na kizazi alitakiwa kukuambia tafuta vya watoto wako kama unayo familia au mpango wa kuwa na familiaBaba angu mzazi alitufundisha tangu tukiwa watoto wadogo kutafuta vya kwetu.
Kusukuma mkokoteni, kukata majani, kumwagilia tofali ie.saidia fundi, kulima shambani, kuamshwa asubuh asubuh na kufagia uwanja na kumwagilia maua.
Mzee wangu kila mtoto wake amemjengea nyumba nzurii TU Ila huwaga hata hatuzitolei macho Wala nini mpaka Sasa japo hati na everything zinasoma majina yetu Ila still anachukua Kodi mwenyewe ujue Kuna jinsi ya kulea watoto ili wawe independent sio unalea mtoto Kama yai.
Mtoto ukishindwa kumlea na kumfundisha kua muwajibikaji ni Bomu hatari zaidi watoto wa single mothers 💔
Noma sana!Kutokana na kwamba mwanangu Marquise hataka kuchukua biashara niliyompa yenye thamani ya almost $5 milioni, nimeamua kuacha kumpa $6700 ya matunzo ya kila mwezi. Nafikiri ni wakati mitaa kumfundisha maisha.”
Hivi sasa sina tena uhusiano mazuri na mwanangu Marquise.
Ni hali ya kusikitisha, lakini nafikiri vema kwa sasa kwa sababu anahisi anastahili kupita kiasi.
Marquise ana miaka 27, lakini bado namlipia matunzo ya $6700 kila mwezi, hata baada ya kukataa biashara ya $5 milioni niliyotaka kumfungulia.
Hakuna aliye wahi kunipa nafasi kama hiyo.”
Kwa kuwa haoni kuwa ana bahati, naona ni bora nimuonyeshe hali ngumu.
Atakapolazimika kuanza kutoka sifuri kama mimi, ataelewa nilichokuwa nikifanya kwa ajili yake.
Anataka kuzunguka New York na magari ya kifahari akiwa na wanawake, bila kufanya kazi, akitegemea jina langu.
Siwezi kumruhusu hilo kwa sababu ana muda wa kutosha kufanya kazi na nipo tayari kumpa resources zotezote atakazozihitaji.”
Ikiwa anataka kitu chochote, ajitafutie mwenyewe.
Mama yake huwa anamwambia, 'Wewe ni mtoto wa 50 Cent, unastahili zaidi,' na hata nikimpa anachotaka, bado ataomba kingine.
Nimejaribu kumwambia kwamba mama yake anamshauri vibaya.
Mama yake humtumia mtoto kama njia ya kulipiza kisasi kwangu, kila proposal ninayompa mtoto wangu huikataa kwa kuwa mama yake anataka niwe natoa hela kwao.
Yeye anaona mimi ni adui yake.”
Sasa ana umri wa kutosha na kama hawezi kuanza kutoka sifuri, naogopa ataishia kuwa mtu aliyeshindwa maishani.
Afadhali nitoe pesa yangu kwa misaada kuliko kumpa mtoto mwenye bahati ambaye ana dhana ya kustahili kama Marquise.
Kuna wakati ninajisikia aibu kumuita mwanangu kwa sababu nimejaribu kila mbinu ili kum-shape ila nimefel kama baba na kama mfanyabiashara.
Nina ventures nyingi sana ambazo ningeweza kumuingiza na tukafanya KAZI lakini hayuko tayari.”View attachment 3143823
Amekudanganya vya kwenu ni vya wazazi wako ..vya kwako nivya watoto wako...baba yako ni mpuuzi anapotosha vizazi na kizazi alitakiwa kukuambia tafuta vya watoto wako kama unayo familia au mpango wa kuwa na familia
Mbona hii namna inakinzana na instict personal right of ownership? Ukiweka mali zako chini ya umiliki wa kampuni bado wanahisa wanakuwa na mbinu nyingi za kukupora umiliki wa hizo mali.Ni kweli usemacho
Kuna article moja nimesoma online, inasema Kuna namna unaweza kulinda mali zako ukiziweka kwenye mfumo wa Kampuni.
Yaani hata nyumba za kuishi ama za Wapangaji una-register kwenye mfumo wa umiliki wa Kampuni ikiwemo hadi akaunti za Benki.
Kwa kufanya hivyo, hela hazitoki ama huwezi kuuza Mali za Kampuni pasipo kuridhiwa na Bodi
Kuwepo Kwa usumbufu wa hivyo, kutafanya Mali kubaki sehemu salama hata ikitokea umeuawa Kwa hila za namna hiyo
Wanawezaje kukupora wakati Kila mtu anatambulika kupitia hisa zake.Mbona hii namna inakinzana na instict personal right of ownership? Ukiweka mali zako chini ya umiliki wa kampuni bado wanahisa wanakuwa na mbinu nyingi za kukupora umiliki wa hizo mali.
Kwenye biashara nyingi fujo nyingi hutendeka kufanya breakthruo to the top!
Ni sahihi umesema, japo muktadha wa hoja yangu ni uwepo wa hiyo mbinu ya kulinda mali kupitia njia complex kidogo kupitia Kampuni.Kwenye biashara nyingi fujo nyingi hutendeka kufanya breakthruo to the top!