Malaika aliyeiokoa Israel dhidi ya maangamizi ya Waarabu miaka 50 iliyopita. Wakati huu Israel hawakua na bahati

Malaika aliyeiokoa Israel dhidi ya maangamizi ya Waarabu miaka 50 iliyopita. Wakati huu Israel hawakua na bahati

The signs of the times show that the regime in Teheran has no future because its government has proved to be the main sponsor of terror in our today's world.
Heheeee hizi kwamba regime ya iran haina future tushazichoka
Mtuambie basi mwisho wake lini maana mnapiga sana ramli dhidi ya tehran
 
Ikiwa sio msomaji mzuri basi huwezi kua na ukweli wa chochote. Unaweza kusoma vitabu viwili ambayo vinaelezea kisa hiko kwa undani au kusoma kitabu cha kijasusi cha Spies Against Armageddon utaona kama kusoma huwezi nenda Netflix imechezwa kisa hiki cha kweli. Hope nmekusaidia vema
sasa wewe ndio unaongea kama umetoka usingizini na huko usingizini ulikuwa unakunywa mkojo wa ngamia. story ya kutunga, mwarabu tangu lini amsaidie myahudi wakati hata kwenye kitabu wamekatazwa
 
Back
Top Bottom