Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

Unahoja lakin hauko sahihi
Kuna kipindi cha nyuma tulienda Israel kutalii tukawa tuna tafuta kaburi la daudi ,kuna majamaa yalikua yanatushangaa sana, ni sawa na wewe watu kutoka bara lingine rangi nyingne waje kwenu kuulizia makaburi ya babu zako, ni vile tu ni utalii ila tulionekena wa hovyo sana
 
Wakija wazungu wakaulizia kaburi la nyerere mbona hawainekani waajabu na nyerere sio figure ya kidunia
 
Assume anakuja muisraeli kusaka kaburi la babu yako wewe akidai ni mtakatifu. Anataka alione na kufanya sala apo.
Mbona kama uanadundadunda, nimekwambia huyo mzungu kama kuona kaburi la nyerere huyo ndio babu yetu usilazimishe eti babu yangu mimi kiukoo kama unavyofosi kwani huyo sijui Daudi muliotaka kuona kaburi lake huko mlipoenda hao waliowashangaa ni babu yao mzaa baba.

Hakuna mtanzania atashaa mzungu kuja kuona kaburi la nyerere hivyohivyo hakuna muarabu atashangaa muafrika kutaka kuona kaburi la Yesu nk

Context ngumu kwako
 
Kupatwa kwa jua ni issue ya kawaida sana tena hutokea kwa kujirudiarudia haiwez kua sababu ya Kujustify hilo andiko. Pengine ni Story tu za wayahudi kama sisi tulivyo na Joka la Mdim.
Kinachofurahisha ni hawa wayahudi wa Mbagala,Mbande na Tukuyu wanavyojifanya wanaelewa Sana bibilia kuliko wayahudi wenyewe
 

Mwendazake.
 
Sawa, naona unetaka kuelewa nilichoandika kwa namna yako wewe.
 
Asante Maana Ulinzi Tosha Ni YESU tuwekeze nguvu sana Kumjua Yeye
Yuda kumjua Bwana Yesu tu haitoshi,lazima tushike amri zake.Amesema mkinipenda mtashika amri zangu.
Yohana 14:15,
15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.
 
Huwaga mnafanya vitu hewa sana.Vitu hivi havisaidi lolote kiroho,mtafuteni Bwana Yesu,mjueni,anapatikana popote ulipo.Concept ya kuhiji haina msingi wowote wa kiroho,it is Satan's heresy.Wake up guys.
 
Huwaga mnafanya vitu hewa sana.Vitu hivi havisaidi lolote kiroho,mtafuteni Bwana Yesu,mjueni,anapatikana popote ulipo.Concept ya kuhiji haina msingi wowote wa kiroho,it is Satan's heresy.Wake up guys.
Yesu tumtafute kapotelea wap, wewe umeonea wap na sie tuje kumsaka?
 
Yesu tumtafute kapotelea wap, wewe umeonea wap na sie tuje kumsaka?
Mtafute kwenye Biblia Mkuu,anapatikana huko.Halafu shika amri zake,huko ndio kumtafuta kwenyewe.

Anasema hivi,

Yohana 14:15,21
15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.
 
Hakuna, Mungu wa Yesu hizo ni story za kitoto za darasa la kwanza kawa wapo thibitisha .
Zaburi 14:1
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu.

Na haya yafuatayo ni kweli pia kwako.
Warumi 1:18-22
18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika.

Mkuu mpokee Yesu,awe Bwana na Mwokozi wa manisha yako leo uponye Roho yako na jehanamu ya Moto,usikubali kuwa mpumbavu(Zaburi 14:1).Bwana Yesu anakupenda.
 
Wasio amini Mungu 1:12 , mpumbavu husema moyoni mwake kuna Mungu , tena mbaya zaidi eti Mungu wa Israel.
 
Biblia ni hekaya za kuktugwa ambazo sisi wamatumbi tuliletewa miaka 200 iliyopita apa.
 
Biblia ni hekaya za kuktugwa ambazo sisi wamatumbi tuliletewa miaka 200 iliyopita apa.
Sawa, wewe kiburi cha uzima ndicho kinachokusumbua.Ila nikuambie hivii,ni afadhali kuamini Mungu yupo halafu usimkute,hupotezi chochote,kuliko kuamini hayupo halafu umkute,itakuwa kilio na kusaga meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…