Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

Malaika anayetajwa katika Ufunuo wa Yohana 9:11, ni nani haswa? Je kupatwa kwa jua Aprili 2024 kunahusiana na malaika huyu?

Comred kuna watu umewaacha patupu lugha ya ndani sn hiyo

MAANA YA KUISHA KWA MUDA WA NEEMA/ REHEMA AU KUONDOKA KWA ROHO MTAKATIFU KWA MARA YA KWANZA.

In short, Roho MTAKATIFU kuondoka duniani Kwa mara ya kwanza tafsiri yake, ni kuondoka Kwa Neema na Rehema duniani.

Ni katika kipindi hiki tulichopo, utaona watu wanafia katika dhambi, umesikia watu wanaenda kufanya operation ya kuongeza viungo vya mwili kuongeza maumbo wanafia huko huko, shoga TikTok amekufa kirahisi tu na ghafula,mtu anaenda kuzini kificho anafia huko huko, Watawala wanaiba kura, wananchi wanawaibukia na kuwashambulia, na kufanya MAPINDUZI,ni katika wakati huu, mzazi ukishindwa kumlea mtoto wako katika Maadili, anakugeukia na kukuchinja, watu watakuwa sehemu za starehe kama kule Israel magaidi ya atokea wanauawa,wengine wanatekwa, magonjwa yasiyo na Jina yataua watu kirahisi,ni wakati huu watumishi wa Mungu wanafungwa na wengine kuuwawa wanapohubiri INJILI,

Ni katika wakati huu, mke akisikia unachepuka, hatokuvumilia kama zamani, naye atalipiza, ukitoka, naye anatoka,

Hizo ndizo Ishara za Roho mtakatifu kuondoka duniani, ni muda wa mapambano.

Ni kuchagua uwe wa Giza au wa Nuru.

Ndizo nyakati tunazizuanza tangu kuingia corona 2020. Vita havitakoma, magonjwa hayatakoma, Matetemeko, nknk

USALAMA ni kuokoka, au uwe mwovu mara mia.

It's your choice.

UBARIKIWE. AMEN
 
That is true, Qur'an ni a mixture of the Old Testament which includes the Torah,Quraresh Culture which is basically based on demonic Revelations and some Christian values.It is a heretical concoction to be precise.
Haha wanakuambia wanavikubali vitabu kadhaa tu vya torati. Jaribu fuatilia historia ya kuzaliwa huyo wanayemwita nabii Issa the story is totally distorted.Wameisoma kisha wakaibadilisha
 
Unachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.
Uko sawa kabisa, hatuwezi tumia akili zetu kufafanua biblia.
 
Unachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.
Ni kweli kabisa bila roho wa Mungu hatuwezi kufafanua maandiko. Kwa upande wa siku kwenye unabii siku moja kwa mwaka mmoja
Unachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.
Uko sawa kabisa kiongozi, ila Katika unabii siku moja ni sawa na mwaka mmoja (angalia Ezekieli 4:6 na Hesabu 14:34).

Ndiyo maana kitabu Cha Daniel na Ufunuo umetaja siku, hivyo ukitumia kuhesabu siku kama kawaida hutoweza kupata jibu sahihi
 
Nawasoma wasoma bible wanavyopingana na kupatana.wote ni wasomaji wa kitabu kimoja.
Any way habari za viumbe ipo kwenye Quran,na ningependa mtu anipe historia ule ukuta wa Great wall of China nani aliujenga?
 
Na hata humu JF wapo ndio hao wanaopinga na kushindana kwa kila kitu kihusucho Mungu. Hao wanaleta hoja za kutaka mumuwaoneshe Mungu physically kama kuuonesha mlima au kumshika Mungu mkono na kumleta kwa min -me na umwambie huyu ndio Mungu. Wanajulikana kwa elimu yao ya kupunga uwepo wa Mungu.
😁😁 kwel walokole kichaa chenu kimefika pabaya.
 
Pia kwangu ni nzuri mkuu , hili ni jukwaa huru sio kanisani humu.
Bro nilikuwa naombi kwako. Mada hii ni nzuri sana kwetu wengine, please kama wewe haikufai kuliko kuiharibu kwa kashfa na dhihaka. Tuachie wengine tujifunze mkuu wangu. Samahani kwa hilo.
 
Wewe usidanganye watu,even your avatar shows who you are:Anti God,kwa hiyo unayo ongea ni ya baba yako.But you still have time,turn back from your evil ways and accept Jesus Christ as your personal saviour so that you can be assured of eternal life.
Mungu yupi unaemzunguzia , hayo mambo ya hizo imani ulizo nazo uliyajua kwa kuyarithi tu ,na wamwanzoni kabla yako waliyajua kwa kuletewa kama kitangulizi cha ukoloni ili kuwafanya walainike tu. Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ,mahubiri vitisho havina maana kwangu.
 
Huyu MUNGU ninayemshuhudia kwako amejifunua kwenye kitabu kiitwacho Biblia,na umbaji wake unamshudia,na wewe mwenyewe ni ushahidi tosha kwamba kweli yupo,kwa hiyo huna udhuru wa kutomuamini.Hata hivyo naomba niseme hivi, hatupo hapa kubishana na kulazimishana imani,you are free to believe whatever you want to believe in.Only remember that whatever you believe in, has eternal consequences,that is eternal hell.
 
Mungu yupi unaemzunguzia , hayo mambo ya hizo imani ulizo nazo uliyajua kwa kuyarithi tu ,na wamwanzoni kabla yako waliyajua kwa kuletewa kama kitangulizi cha ukoloni ili kuwafanya walainike tu. Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ,mahubiri vitisho havina maana kwangu.
min-me mimi nimekushirikisha imani yangu,the God of the Bible.Naomba na wewe unishirikishe imani yako,that is what do you believe in,ili kama ni imani nzuri na logical,na mimi nii-adopt.Karibu.
 
Haya watabiri,ndio nini kesho kinatokea tujue kwa sentesi moja sio paraghaf.
 
Hii "wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa" inamaanisha ni wale wasio nyakuliwa. Maana katika Ufunuo 7:1-17 inaelezea kuhusu unyakuo so hao wanaobaki ndio watakumbana na Abadon na Appolion.

Wanadamu wa sasa watakubishia ila Mungu alishawahi "nifunulia na kunionesha kuzimu". Lile shimo ni refu, lina giza na kweli halina mwisho na ni kweli kuna moto na mateso. Tujisahu na kujifariji na kujidanganya ila kama humuamink mwana wa mmiliki, yajayo hayafurahishi na kesho yako ni mbaya.
duuh! Hatari. Ok,kwanini hili jina "mwana wa mmiliki"?
 
Back
Top Bottom