Kufungua codes hizi, inakupasa uokoke, Roho mtakatifu aingie ndani Yako na kukufunulia hayo ndugu AhamadiaComred kuna watu umewaacha patupu lugha ya ndani sn hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungua codes hizi, inakupasa uokoke, Roho mtakatifu aingie ndani Yako na kukufunulia hayo ndugu AhamadiaComred kuna watu umewaacha patupu lugha ya ndani sn hiyo
Comred kuna watu umewaacha patupu lugha ya ndani sn hiyo
Haha wanakuambia wanavikubali vitabu kadhaa tu vya torati. Jaribu fuatilia historia ya kuzaliwa huyo wanayemwita nabii Issa the story is totally distorted.Wameisoma kisha wakaibadilishaThat is true, Qur'an ni a mixture of the Old Testament which includes the Torah,Quraresh Culture which is basically based on demonic Revelations and some Christian values.It is a heretical concoction to be precise.
wasome maandikoComred kuna watu umewaacha patupu lugha ya ndani sn hiyo
Uko sawa kabisa, hatuwezi tumia akili zetu kufafanua biblia.Unachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.
AsanteSafi sana mkuu kwa ufafanuzi
Ni kweli kabisa bila roho wa Mungu hatuwezi kufafanua maandiko. Kwa upande wa siku kwenye unabii siku moja kwa mwaka mmojaUnachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.
Uko sawa kabisa kiongozi, ila Katika unabii siku moja ni sawa na mwaka mmoja (angalia Ezekieli 4:6 na Hesabu 14:34).Unachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.
😁😁 kwel walokole kichaa chenu kimefika pabaya.Na hata humu JF wapo ndio hao wanaopinga na kushindana kwa kila kitu kihusucho Mungu. Hao wanaleta hoja za kutaka mumuwaoneshe Mungu physically kama kuuonesha mlima au kumshika Mungu mkono na kumleta kwa min -me na umwambie huyu ndio Mungu. Wanajulikana kwa elimu yao ya kupunga uwepo wa Mungu.
Bro nilikuwa naombi kwako. Mada hii ni nzuri sana kwetu wengine, please kama wewe haikufai kuliko kuiharibu kwa kashfa na dhihaka. Tuachie wengine tujifunze mkuu wangu. Samahani kwa hilo.
Mungu yupi unaemzunguzia , hayo mambo ya hizo imani ulizo nazo uliyajua kwa kuyarithi tu ,na wamwanzoni kabla yako waliyajua kwa kuletewa kama kitangulizi cha ukoloni ili kuwafanya walainike tu. Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ,mahubiri vitisho havina maana kwangu.Wewe usidanganye watu,even your avatar shows who you are:Anti God,kwa hiyo unayo ongea ni ya baba yako.But you still have time,turn back from your evil ways and accept Jesus Christ as your personal saviour so that you can be assured of eternal life.
Huyu MUNGU ninayemshuhudia kwako amejifunua kwenye kitabu kiitwacho Biblia,na umbaji wake unamshudia,na wewe mwenyewe ni ushahidi tosha kwamba kweli yupo,kwa hiyo huna udhuru wa kutomuamini.Hata hivyo naomba niseme hivi, hatupo hapa kubishana na kulazimishana imani,you are free to believe whatever you want to believe in.Only remember that whatever you believe in, has eternal consequences,that is eternal hell.Mungu yupi unaemzunguzia , hayo mambo ya hizo imani ulizo nazo uliyajua kwa kuyarithi tu ,na wamwanzoni kabla yako waliyajua kwa kuletewa kama kitangulizi cha ukoloni ili kuwafanya walainike tu. Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ,mahubiri vitisho havina maana kwangu.
min-me mimi nimekushirikisha imani yangu,the God of the Bible.Naomba na wewe unishirikishe imani yako,that is what do you believe in,ili kama ni imani nzuri na logical,na mimi nii-adopt.Karibu.Mungu yupi unaemzunguzia , hayo mambo ya hizo imani ulizo nazo uliyajua kwa kuyarithi tu ,na wamwanzoni kabla yako waliyajua kwa kuletewa kama kitangulizi cha ukoloni ili kuwafanya walainike tu. Thibitisha uwepo wa huyo Mungu ,mahubiri vitisho havina maana kwangu.
duuh! Hatari. Ok,kwanini hili jina "mwana wa mmiliki"?Hii "wanadamu wasio na nembo ya Mungu nyusoni mwao watateswa" inamaanisha ni wale wasio nyakuliwa. Maana katika Ufunuo 7:1-17 inaelezea kuhusu unyakuo so hao wanaobaki ndio watakumbana na Abadon na Appolion.
Wanadamu wa sasa watakubishia ila Mungu alishawahi "nifunulia na kunionesha kuzimu". Lile shimo ni refu, lina giza na kweli halina mwisho na ni kweli kuna moto na mateso. Tujisahu na kujifariji na kujidanganya ila kama humuamink mwana wa mmiliki, yajayo hayafurahishi na kesho yako ni mbaya.