Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Eti wakawashangaa, kwani wao ndio wa kwqnza kwenda kuangalia kaburi la Daudi na la Yesu hadi wawashangae? Huyo jamaa ni "very low na hakuna ajuacho" atakupotezea muda wako. Tuendelee na mada.Mbona kama uanadundadunda, nimekwambia huyo mzungu kama kuona kaburi la nyerere huyo ndio babu yetu usilazimishe eti babu yangu mimi kiukoo kama unavyofosi kwani huyo sijui Daudi muliotaka kuona kaburi lake huko mlipoenda hao waliowashangaa ni babu yao mzaa baba.
Hakuna mtanzania atashaa mzungu kuja kuona kaburi la nyerere hivyohivyo hakuna muarabu atashangaa muafrika kutaka kuona kaburi la Yesu nk
Context ngumu kwako
Mkuu Samael (Zamani) ndiyo wakristo na wayahudi wanamtaja kama Shetani..Ni kweli, nilikuwa namaanisha Azazel ila napinga Samael kuwa ndio Lucifer. Lucifer ni mwingine na Samael ni mwingine.
Nimesoma vitabu vingi vikiwemo vya "Demonology" Azazel ni More Powerfull kuliko "Lucifer" japo katika ranks za utawala Lucifer ndio Bwana Mkubwa wao (King na hao wengine ni maprince tu akiwemo Beelzebul)
Na hata humu JF wapo ndio hao wanaopinga na kushindana kwa kila kitu kihusucho Mungu. Hao wanaleta hoja za kutaka mumuwaoneshe Mungu physically kama kuuonesha mlima au kumshika Mungu mkono na kumleta kwa min -me na umwambie huyu ndio Mungu. Wanajulikana kwa elimu yao ya kupunga uwepo wa Mungu.Hao ndio wanalitesa Dunia Kwa sasa,
Hata kwetu nchini wapo, very intelligent,strategic, bt ni strategic katika kupanga UOVU,
Ni mapepo katika form ya WANADAMU, Kwa nje ni mtu, ndani ni mixer mtu na myama au JOKA.
Mungu yupo, atawaondoa tu, watu wa Mungu tupumue angalau Kwa uchache.
Anajifurahisha huyo jamaa. Vijana wa sasa wanataka wahubiriwe kile wanachotaka kusikia. Wanataka ibada nzima waambiwe pokea mke/mme, pokea nyumba na magari, pokea vita ya kwenda kuishi USA n.k. Wanataka wahubiriwe kuhusu "material things"Haya mawazo kwamba Kitabu cha Ufunuo wa Yohana hakipaswi kuwepo umeyatoa wapi,tuanzie hapo.
Very sad indeed.Unajua Mkuu,there is a new human Species created by Satan in his bid to change everything so that it can fit his moral standards.They call it Homo Borgenesis.Most people especially the young generation belong to this new Species.A person still with "some commonsense" can see that even moral values are way off the norm.Kwa hiyo usishangae, vijana wengi belong to this new species,so have altered DNA and therefore Genome compared to the normal species Homo Sapiens.Anajifurahisha huyo jamaa. Vijana wa sasa wanataka wahubiriwe kile wanachotaka kusikia. Wanataka ibada nzima waambiwe pokea mke/mme, pokea nyumba na magari, pokea vita ya kwenda kuishi USA n.k. Wanataka wahubiriwe kuhusu "material things"
Mkuu mashetani yana majina tofauti tofauti kutegemeana na culture tofauti tofauti za duniani jina la shetani katika culture fulani ni tofauti na la shetani katika culture nyingine kwa maana hiyo shetani ana majina mengi.Allah wa enzi za wa quraysh alikuwa modified na Muhammad akafitishwa kwenye imani yake.The is no way aka-match na Mungu wa kwenye biblia.They are as different as East and WestVita itainuka ila hakuna Mungu asiye na jina. Mungu wa Ekron walimuita Belzeebul. mungu wa wamoabi aliitwa Kemoshi, mungu wa mke wa sidoni aliitwa ashtorethi na mungu wa waamoni aliitwa moleki.
Wamisri walikuwa na miungu 10 yenye majini. Wababel walikuwa na miungu yenye majina. Wahindi wana miungu yao ina majina. Waebrania walikuwa na YAHWH ila wakureshi mungu wao hana jina na jina lake ni mungu. Kwanini jina hilo limefichwa? Hapo ndipo nakubaliana na wewe kuwa Apolion na abadon ndio huyo mungu wa "kikuresh"
Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe".Abadon it doesnt Means The destroyer in Hebrew Sir! So do Apollyon?
Usipotoshe!
Ngoja nikupe Hints Kidogo..
Nuhu Alikaa kwenye safina siku 150 Miezi mitano!
Malaika anayetajwa kwenye Ufunuo hiyo ni Fallen angel ni malaika wa Tano!
And that 150 kwenye hiyo ufunuo its 5..
So dig it well with No 5...
Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe". Siku 1 ni sawa mwaka 1. Hivyo lugha ya kitabu cha mwanzo sio sawa na lugha ya kitabu Cha UFUNUO.Abadon it doesnt Means The destroyer in Hebrew Sir! So do Apollyon?
Usipotoshe!
Ngoja nikupe Hints Kidogo..
Nuhu Alikaa kwenye safina siku 150 Miezi mitano!
Malaika anayetajwa kwenye Ufunuo hiyo ni Fallen angel ni malaika wa Tano!
And that 150 kwenye hiyo ufunuo its 5..
So dig it well with No 5...
Safi sana mkuu kwa ufafanuziAsante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe".
Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe". Siku 1 ni sawa mwaka 1. Hivyo lugha ya kitabu cha mwanzo sio sawa na lugha ya kitabu Cha UFUNUO.
[emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Mmeambiwa kuhama Dar mnakaza shingo.
Tusubiri.
Hao wa malaika wa uharibifu wako frati inasemekana wanaeza uwa nusu ya ulimwenguHujaeleweka hapa bro. Kweli kuna malaika waasi wenye nguvu kuliko Lucifer aliyekuwa Kwaya Master tu. Wapo akina Azael wenye nguvu zaidi yake.
Hata tabia za Allah zilizo orodheshwa kwenye Biblia ni tofauti kabisa na za Yehova in the Bible,kwa hiyo ni kweli,they are as different as North and South.Mkuu mashetani yana majina tofauti tofauti kutegemeana na culture tofauti tofauti za duniani jina la shetani katika culture fulani ni tofauti na la shetani katika culture nyingine kwa maana hiyo shetani ana majina mengi.Allah wa enzi za wa quraysh alikuwa modified na Muhammad akafitishwa kwenye imani yake.The is no way aka-match na Mungu wa kwenye biblia.They are as different as East and West
Halafu believe or not wanasomaga biblia na wanakopi na kugeuza maneno kidogo tu na kuyapaste kwenye quran.Hata tabia za Allah zilizo orodheshwa kwenye Biblia ni tofauti kabisa na za Yehova in the Bible,kwa hiyo ni kweli,they are as different as North and South.
Unachohitaji ni the Holy Spirit kuelewa Biblia as a whole.Without the Holy Spirit utaona Biblia inajipinga,but it is as clear as the difference between night and day.Ukitumia akili yako you can't understand the Bible.Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe".
Asante sir, kitabu Cha ufunuo ni kitabu Cha unabii, lugha iliyotumika ni lugha ya kimafumbo inayohitaji kupambanuliwa. Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu hicho unaposema "malaika" inamaana ya "Mjumbe". Siku 1 ni sawa mwaka 1. Hivyo lugha ya kitabu cha mwanzo sio sawa na lugha ya kitabu Cha UFUNUO.
Comred kuna watu umewaacha patupu lugha ya ndani sn hiyoKamanda wa Shetani atafunguliwa baada ya unyakuo wa kwanza, baada ya roho mtakatifu kuondoka na kanisa kwa awamu ya kwanza
Haito kaa itokee.....Kwa siku tatu SI mchezo,acha tuone.View attachment 2948752View attachment 2948752
That is true, Qur'an ni a mixture of the Old Testament which includes the Torah,Quraresh Culture which is basically based on demonic Revelations and some Christian values.It is a heretical concoction to be precise.Halafu believe or not wanasomaga biblia na wanakopi na kugeuza maneno kidogo tu na kuyapaste kwenye quran.