Tunaishi majira ya UFUNUO 6:8.
MAUTI na kuzimu wanafuatana wamepanda farasi wa KIJIVUJIVU.
MUHURI wa nne ulifunguliwa 2021 July, MAUTI na kuzimu zimeruhusiwa kuja kuvuna theluthi ya WANADAMU wakaao duniani.
Epukeni kwenda katika sehemu za starehe, askari wa kuzimu wako huko tayari, mtapigwa Sumu kwenye pombe zenu na mtadhani ni watu kumbe askari wa kuzimu, wanawake wa maeneo hayo watawaua, Si watu, ni askari wa kuzimu, yanakuja matetemeko,njaa, vita, MAPINDUZI na Kila aina ya matatizo Ili Roho za waovu zivunwe, wafe watu, theluthi ya WANADAMU wote wakaao duniani.
Mtoa mada, unachoongelea ni MUHURI wa SABA, Malaika wa Tano,baragumu ya tano, huko Bado kufika, hayo tatatukia, baada ya WATAKATIFU kuondolewa duniani.
Hapa tuko MUHURI wa nne.
USALAMA ni kuokoka na kuishi maisha matakatifu.
Amen