Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

Deshbhakt

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Posts
403
Reaction score
204
Courtesy of Millard Ayo:

Asante Yesu kwa kututembelea na muujiza mkuu katika Injili ya Msingi wa Imani Porto Novo, Jamhuri ya Benin”- Nukuu ya Mchugaji Ekuma

rrtttttt.jpg

Swala langu can this be true?
Malaika anaevaa VIATU??
 
Wanatuchukuliaje [emoji3][emoji3]
 
Courtesy of Millard Ayo:

Asante Yesu kwa kututembelea na muujiza mkuu katika Injili ya Msingi wa Imani Porto Novo, Jamhuri ya Benin”- Nukuu ya Mchugaji Ekuma

rrtttttt.jpg

Swala langu can this be true?
Malaika anaevaa VIATU??
Sio an Angel ameandika an Angle....wajinga ndio waliwao!
 
Courtesy of Millard Ayo:

Asante Yesu kwa kututembelea na muujiza mkuu katika Injili ya Msingi wa Imani Porto Novo, Jamhuri ya Benin”- Nukuu ya Mchugaji Ekuma

rrtttttt.jpg

Swala langu can this be true?
Malaika anaevaa VIATU??
Katika hiyo post hajasema malaika. Labda ni kwa makusudi ili awatege watu. Malaika amevaa brand shoes hahaaa
 
changa la macho la kutafutia hela mkuu
Najiuliza, kama kila mtu katika hizi zama amekuwa mgumu kukubaliana na habari za watu wanaojiita manabii

Ilikuwaje kipindi cha nyuma watu wa enzi hizo kuwe na urahisi wa kuwakubali manabii wa kipindi hicho, ambao wakasababisha kizazi hiki kikarithi tabia hiyo?

Kizizi hiki kwa utashi ambao kipo nao leo, kingepata bahati ya kukutana na hao manabii wa kipindi hicho naona isingekuwa rahisi kuwaamini hao manabii ambao leo wanaaminiwa kutokana na kurithishwa. Watu wamerithishwa imani kua kuna Yesu, petro, muhammad, maria, nk.

Nikianza kuangalia yule yesu aliyekuja mwaka juzi hapo kenya na still watu wakamkataa napata hofu kwamba kuna siku hata akija huyo yesu na akajitambulisha kwamba yeye ndio yesu OG watu mtamkataa kwa kutumia vifungu vyake alivyoviandika yeye mwenyewe kua manabii wengi wa uongo watakuja kwa jina langu
 
Back
Top Bottom