Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

Katika hiyo post hajasema malaika. Labda ni kwa makusudi ili awatege watu. Malaika amevaa brand shoes hahaaa
 
Yani nliona hii picha nikacheka sana. Aliyeturoga waafrika katumaliza
 
Malaika ndio huyo jamaa aliyetupia raba kali nyeupe?
Kilichotokea ni hiyo camera bila shaka itakuwa ni low quality na pixels chache na huyo malaika alipita hapo amevaa shuka huku anakimbia hivyo camera ikacapture hizo blur.

This is another level of Ignorance.
 
Katika hiyo post hajasema malaika. Labda ni kwa makusudi ili awatege watu. Malaika amevaa brand shoes hahaaa
 
Hao wanaijeria wapumbavu sana
 

Yakikukuta ya yule aliekuwa anapiga story za kutoka galilaya, yerusalem mpaka betelehem, sisi hatumo.
 
Ubongo wangu umegoma kabisa kukuelewa,na uboho wangu (bone marrow)imegoma kusafirisha taarifa yako kwenda kichwani
 
Dah..kuna x wangu anaamin haya mambo humwambii kitu..halaf kwao nyumba nzima wanaamin haya mambo

Enz hzo tuko chuo akanipelekaga kwenye kanisa flan hiv aisee ule utapel nilioshuhudia pale nkasema hiv inakuaje mtu chuo kikuu una elim yako unaamin maigizo yale live live vile..daah...kuna video moja yule bushir et ana fly kwenye ngaz...aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…