Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

Ubongo wangu umegoma kabisa kukuelewa,na uboho wangu (bone marrow)imegoma kusafirisha taarifa yako kwenda kichwani
Labda sio kiungo muhimu cha kukitegemea katika kuelewa mambo

Nasikitika kwamba sijaeleweka kwa mara nyingine
 
Kondoo wa bwana si hawanaga akili acha watu watengeneze maisha kupitia ujinga wao
 
Alivaa viatu vya John White, viatu hivi vikali sana hutengenezwa kwa ngozi ya kitimoto.
 
Tukubaliane tu, akiwa vipi anatimiza sifa za kuwa malaika? Maana tunaweza tukaponda tu, ila hatuna vigezo.
 
Kuna majitu yanaburuzwa dunia hii hata ukiwaambia wavuke mto wenye Mamba watavuka kama Nyumbu
 
Vitu vingine sio vya kubishana we unaesema mungu hayupo,Huyo anayewekaga sukari kwenye maembe ni baba yako au.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Swali la kiwaki sana hilo,
Na anaejaza maji kwenye madafu atakua mjomba wake.
Alivyo na akili nyingi atakujibu ni nature, sasa sijui Juma kamuacha wapi.
 
Sijawahi kumuona malaika....pengine walikuwa wanavaa.
 
Malaika amevaa snickers [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Manabii wa enzi za mwanzo ni tofauti kabisa na hawa waganga njaa wa leo. Siku hizi hizo ni ishu za kupiga pesa tu. Angalia hata miujiza yao feki. Mara sijui mtu kaponywa uvimbe sijui kisukari etc. Viwete na vipofu tangu kuzaliwa wamejaa tele huko mitaani hakuna hata mmoja aliyeponywa. Ujanja ujanja tu !
 
Kwahiyo nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]

Unahisi umepigwa na kitu kizito au [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Wajinga watajaa hapo kanisani na mapato yataongezeka maradufu
 
Tukubaliane tu, akiwa vipi anatimiza sifa za kuwa malaika? Maana tunaweza tukaponda tu, ila hatuna vigezo.
Hakuleta ujumbe wowote. What was the intention of his appearing? Ujinga mtupu.Alikuja kufanya show kwenye camera au? Malaika anapotokea anakuja na ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…