Malaika aonekana kwenye Kanisa akiwa amevaa viatu?

Hivi vituko huwa ni kwa makanisa ya wajasiria dini wanaojiita walokole
 
Jina la pastor tafadhali...😁
 
Sasa mnampangia malaika kama aliamua kutoka tofauti anavyotokaga siku zote.. hiki kizazi kingine nyie lazima wajitofautishe msiwazoee malaika wa zamani na wa sasa
 
"An Angle was captured on camera". Tuishie hapo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mnampangia malaika kama aliamua kutoka tofauti anavyotokaga siku zote.. hiki kizazi kingine nyie lazima wajitofautishe msiwazoee malaika wa zamani na wa sasa

Alafu anaonekana kabsa malaika wa kiafrica-mweusi—- dunia hii ina upendeleo wallah
 
Wakristo Amkeni basi Jamanii heeee

Mutaibiwa mpaka lini nyinyi embu zindukeni basi
Mnaibiwaaaa na hao Manabii wenu feki
Aisee,inabidi itumike nguvu ya ziada kuwatetea wakristo,maana wanaibiwa kila siku na Hawa manabii feki na wachungaji matapeli,

Cha ajabu hata uwambie vipi ni wagumu kuelewa,yaani sasaivi ukitaka kutajirika basi wewe geukia huko kwa wakristo jifanye nabii na mtume.
 
Camera zilimwona lakini hakuna muumini aliye mwona basi imani yao haba sana. Na yule mwingine aliwavua wanawake Nguo hadharani eti utakaso duh! hawa watu mbona mambo mchanaganyiko hivyo?
 
manabii wa kweli walikumbana na upinzani mkali sana, angalia mfano wa MUSA, hivyo vyeo hawakuvikubali kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…