Malaika Cute, hiyo shepu tumekubali!

Malaika Cute, hiyo shepu tumekubali!

Una mimba?

Katapikie nje.

Na ukitapika uzoe
Umeingia JF na moto sana wewe. Halafu unaonekana wewe ni mzoefu hapa JF ila ID umechukuwa mpya. m-shangazi kama m-shangazi! Hakopeshi maneno wala hamung'unyi.
 
Umeingia JF na moto sana wewe. Halafu unaonekana wewe ni mzoefu hapa JF ila ID umechukuwa mpya. m-shangazi kama m-shangazi! Hakopeshi maneno wala hamung'unyi.

Leo ni siku ya 31 tangu nimejiunga JF.
Sijawahi kuwa na ID nyingine. Ila nilikuwa kama guest jf tangu julai mwaka huu. Then nikatumiwa ujumbe wa kulazimishwa kujiunga na nikajiunga rasmi september 9 mwaka huu (9/9)

Ukinikuta home mie ni mama wa mtoto mmoja nayejiheshim mwenye pesa zangu za urithi za marehemu mume wangu. (RIP)

JF inanitoa stress

I LOVE IT
 
old-man-listening-to-the-radio-lome-togo.jpg

Kwamba? Anaitwa nani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]
 
Back
Top Bottom