Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
A
men...... AmenNi maombi yangu Mungu aongoze hatua zako,
Ukakue zaidi Kila siku katika nyanja zote maishani mwako.
Ukawe na siku nyingi zilizojaa furaha na baraka. Ukatumike shambani mwa BWANA ukimzalia matunda mema yaufukiao Uzima WA milele.
Aaaamen.