Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

A
Ni maombi yangu Mungu aongoze hatua zako,

Ukakue zaidi Kila siku katika nyanja zote maishani mwako.

Ukawe na siku nyingi zilizojaa furaha na baraka. Ukatumike shambani mwa BWANA ukimzalia matunda mema yaufukiao Uzima WA milele.

Aaaamen.
men...... Amen
 
Huyo yuda hizi habari alizijuaje😳
Kwani ufunuo ulitoka mara mbili?
Itakuwa waandishi wametupiga tena
 
No,

Mwili ulionao wa Damu na nyama ni photocopy ya MWILI halisi wa Roho.

Mtu ni ROHO mwenye mwili wa Roho wenye viungo kama tu wa mwili.

Unaogombewa uende kuzimu au Mbinguni ni mwili wa Roho ambao ndio mtu halisi.

N B: Mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI wa nyama.
Mmh! Confused.
 
Back
Top Bottom