Hii tuifanye kampeni ili tupate unafuu wanatuita wanyonge ili tunyongwe hawayajui maumivu yetuWabongo ni macoward sana muda mwingine.....
Nasema sisi wanunua vocha tukiuchuna japo kwa siku 30 tu..... Utakuja kuona hiyo simu kama ndani ya wiki moja hawatakaa kurekebisha vifurushi na kurejesha vile tunataka....
Tukifanikisha hili lazima hawa watu akili itawarudia maana wanatuona kama takatakaHii tuifanye kampeni ili tupate unafuu wanatuita wanyonge ili tunyongwe hawayajui maumivu yetu
Ingewezekana kama kuna mbadala wa mawasiliano, lakini kuvimba kichwa bila mbadala haitawezekana hata kidogo.Wabongo ni macoward sana muda mwingine.....
Nasema sisi wanunua vocha tukiuchuna japo kwa siku 30 tu..... Utakuja kuona hiyo simu kama ndani ya wiki moja hawatakaa kurekebisha vifurushi na kurejesha vile tunataka....
Sure Msimamo tuWabongo ni macoward sana muda mwingine.....
Nasema sisi wanunua vocha tukiuchuna japo kwa siku 30 tu..... Utakuja kuona hiyo simu kama ndani ya wiki moja hawatakaa kurekebisha vifurushi na kurejesha vile tunataka....
Ndiyo sasa utoe wazo mbadala kama unaona hili ongezeko la bei ya vifurushi linakugusaHii meseji ya kuhamashisha mgomo wa kununua vocha umetumia kifurushi (vocha) au umetumia hewa kuituma humu ndani??!!
Toa Ushauri sasa nini kifanyikeIngewezekana kama kuna mbadala wa mawasiliano, lakini kuvimba kichwa bila mbadala haitawezekana hata kidogo.
Tuanze sasaSure Msimamo tu
HAKUNA njia mbadala, waongeze Bei tena na Tena. Ni lazima mwaka huu wajinga mpungue mitandaoniNdiyo sasa utoe wazo mbadala kama unaona hili ongezeko la bei ya vifurushi linakugusa