mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Itasaidia sana hasa akina dada wa kila siku nitumie hela ya vocha au tuma pesa kwa namba hii, angalau nyumbani kutakuwa na utulivu ila wale maslay queens watapata shida bila simu kwa maana hakutakuwa na connection za honey unajua ....Smart4n bila vocha ni kama Masai bila rungu.