Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

Smart4n bila vocha ni kama Masai bila rungu.
Itasaidia sana hasa akina dada wa kila siku nitumie hela ya vocha au tuma pesa kwa namba hii, angalau nyumbani kutakuwa na utulivu ila wale maslay queens watapata shida bila simu kwa maana hakutakuwa na connection za honey unajua ....
 
sa itakuajeeee
20210402_212111.jpg
 
Itasaidia sana hasa akina dada wa kila siku nitumie hela ya vocha au tuma pesa kwa namba hii, angalau nyumbani kutakuwa na utulivu ila wale maslay queens watapata shida bila simu kwa maana hakutakuwa na connection za honey unajua ....
Umefikiria mbali mkuu....vitakufa hivi vijitu.
 
Back
Top Bottom