Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Treni za Mwendokasi ni treni nzuri sana, in short they are comfortable and fast. Lakini kama mwanaharakati, I haven't noticed many obligations but recently people in the social medias wameleta malalamiko yafuatayo;
1. No smoking zone in waiting area
Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna sehemu ya kuvuta sigara. Ambayo kama mradi unataka kutumiwa na foreigners itakuwa shida maana washazoea nchi zao kuna such places.
2. Kukimbilia treni bila utaratibu
Boarding time watu wanakimbilia treni kwasababu milango inafunguliwa dakika kumi hadi 20 kabla haijaondoka kwanini watu wanaofika wasiingie moja moja.
3. Restaurant
Hii inauza vitu local kama keki na another, kwanini wasiongeze vitu kama nyama choma waongeze mapato.
4. System kulag
Last week system ililag watu wakawa wanakosa safari wakati wamenunua ticket. Lakini system ishasolviwa kudos.
5. Waiting Area.
Waiting area imekua ndogo watu wengi wameshauri waongeze ukubwa.
The quality control officer anabidi aput up much effort to satisfy the needs of the people.
Kudos mwanaharakati wako Selemani Sele.