Malalamiko kuhusu SGR yanayotolewa na baadhi ya abiria

Ni wapi? juzi pale dodoma dakika 5 kabla muda haujafika milango ikafungwa, saa 11 na nusu bila kuzidisha hata sekunde moja ikaondoka.
Hao hawajawahi kupanda hii treni. Waliopanda wanajua inaondoka on time inafika on time. Hio ya juzi ilionasa njiani ndio imechelewa kabisa.
 
Namba 2 ni uongo. Abiria wanatakiwa wafike masaa mawili kabla na wanaruhusu kuingia zaidi ya 45 minutes early. Ambayo kidogo niliona imechelewa kufungua milango ilikuwa ya Dar-dom jioni kwasababu ilitoka Moro ikashusha,wakasafisha ndio wakaruhusu watu kuingia nayo ilikuwa sio chini ya nusu saa. Ya dom Dar ndio kabisa mimi binafsi niliingia 30 kabla ya kuondoka na nilikuta tayari watu wengi wameshapanda. Wale unaoona wanakimbia hovyo ni watu wanaokuja dakika 10 kabla ya kuondoka na ndio Wabongo wengi walivyo.

Ushauri wangu waweke benches kwenye platform ili watu waingie taratibu wakakae kule kwenye platform ili treni ikifika tu wanapanda. Nimegundua station ni ndogo huko tuendako itakuwa tatizo.
Ndio walichosema
 
Bado miezi kama mitatu mradi ujifie.Muda hauzingatiwi,tiketi tatizo na umekuwa mradi wa kuzinduliwa Kila siku.
Ushindwe na utashindwaaa., waweke Maagents wengi kuwasadia siyo lazima kila kitu wafanye wao.
 
Treni za Mwendokasi ni treni nzuri sana, in short they are comfortable and fast. Lakini kama mwanaharakati, I haven't noticed many obligations but recently people in the social medias wameleta malalamiko yafuatayo;

1. No smoking zone in waiting area
Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna sehemu ya kuvuta sigara. Ambayo kama mradi unataka kutumiwa na foreigners itakuwa shida maana washazoea nchi zao kuna such places.

2. Kukimbilia treni bila utaratibu
Boarding time watu wanakimbilia treni kwasababu milango inafunguliwa dakika kumi hadi 20 kabla haijaondoka kwanini watu wanaofika wasiingie moja moja.

3. Restaurant
Hii inauza vitu local kama keki na another, kwanini wasiongeze vitu kama nyama choma waongeze mapato.

4. System kulag
Last week system ililag watu wakawa wanakosa safari wakati wamenunua ticket. Lakini system ishasolviwa kudos.
5. Waiting Area.
Waiting area imekua ndogo watu wengi wameshauri waongeze ukubwa.
The quality control officer anabidi aput up much effort to satisfy the needs of the people.

Kudos mwanaharakati wako Selemani Sele.
1. No smoking zone in waiting area
Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna sehemu ya kuvuta sigara. Ambayo kama mradi unataka kutumiwa na foreigners itakuwa shida maana washazoea nchi zao kuna such places.
Siku hizi kuna campaign ya kuzuia uvutaji sigara, na sehemu nyingi za public hawaweki tena smoking area. Zamani hata long flights ilikuwa seat za nyuma ni za smokers, sasa hakuna tena. Hao waraibu wanawezaje kuja Tanzania kwa flights za masaa hadi 10 washindwe kuvumilia kwa masaa chini ya manne? Na tukianza safari za Dar - Kigoma je, utasema tutenge mabehewa kwa ajili yao?

2. Kukimbilia treni bila utaratibu
Boarding time watu wanakimbilia treni kwasababu milango inafunguliwa dakika kumi hadi 20 kabla haijaondoka kwanini watu wanaofika wasiingie moja moja.
Dakika 10-20 ku board train ni nyingi sana. Treni za mwendo kasi Ulaya mnapewa dakika 3-5 ku-board train, hata kwenye station kubwa. Kwa hiyo Watanzania tubadilike sio tuendelee kufanya mambo kigoigoi. Haya ni mazoezi mazuri ukienda Ulaya usiwe unaachwa na train

3. Restaurant
Hii inauza vitu local kama keki na another, kwanini wasiongeze vitu kama nyama choma waongeze mapato.
Safari ni ya masaa matatu hadi Dodoma. Sio baa ile, ni fast train. Ukifika unakoenda nenda katafute nyama choma. Labda ikifika tuna treni ya Dar - Mwanza/Kigoma kutakuwa na heavy meals kama wali nyama nk. Lakini safari ya masaa 3 unataka usongewe ugali na kiti moto? Ndio maana tunanenepa ovyo Tanzania.

4. System kulag
Last week system ililag watu wakawa wanakosa safari wakati wamenunua ticket. Lakini system ishasolviwa kudos.
Hili nalo wakaliangalie. Haipaswi kuwa hivi, lakini pia weka allowance ya teething problems

5. Waiting Area.
Waiting area imekua ndogo watu wengi wameshauri waongeze ukubwa.
The quality control officer anabidi aput up much effort to satisfy the needs of the people.
Wataongezaje? Waiting area ni sehemu ya design ya jengo lote, na kama kosa limefanyika inaweza kuwa ngumu sana kurekebisha. Sijui lakini, sijafika hapo station nikaona palivyo, maana crowding kwenye platform ni jambo hata station nchi za wenzetu linaonekana, labda ndio maana wao wanatoa dakika 3-5 between train ku park na kuondoka, ili kuzuia crowding. Je wapunguze boarding time from 10-20 minutes kuzuia crowding?
 
Bado miezi kama mitatu mradi ujifie.Muda hauzingatiwi,tiketi tatizo na umekuwa mradi wa kuzinduliwa Kila siku.
Ha ha ha. Huu mradi ni mzuri sana. Serikali ijitahidi sana usife kama ulivyokufa Mradi wa Mabasi ya Wanafunzi Dar es Salaam uliokuwa chini ya UVCCM wakati huo katibu wake akiwa ni Emmanuel Nchimbi na mwenyekiti Guninita.
 
Ndio walichosema
Kama nilivyosema awali, ni hear say. Tafuta mtu aliyepanda hii treni akwambie. Wasiwasi wetu ni kuwa itakuwa hivi miaka 1,2,3 ijayo? Ila wameanza vizuri sana na utatamani usafiri na hii treni kila siku.
 
1. No smoking zone in waiting area
Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna sehemu ya kuvuta sigara. Ambayo kama mradi unataka kutumiwa na foreigners itakuwa shida maana washazoea nchi zao kuna such places.
Siku hizi kuna campaign ya kuzuia uvutaji sigara, na sehemu nyingi za public hawaweki tena smoking area. Zamani hata long flights ilikuwa seat za nyuma ni za smokers, sasa hakuna tena. Hao waraibu wanawezaje kuja Tanzania kwa flights za masaa hadi 10 washindwe kuvumilia kwa masaa chini ya manne? Na tukianza safari za Dar - Kigoma je, utasema tutenge mabehewa kwa ajili yao?

2. Kukimbilia treni bila utaratibu
Boarding time watu wanakimbilia treni kwasababu milango inafunguliwa dakika kumi hadi 20 kabla haijaondoka kwanini watu wanaofika wasiingie moja moja.
Dakika 10-20 ku board train ni nyingi sana. Treni za mwendo kasi Ulaya mnapewa dakika 3-5 ku-board train, hata kwenye station kubwa. Kwa hiyo Watanzania tubadilike sio tuendelee kufanya mambo kigoigoi. Haya ni mazoezi mazuri ukienda Ulaya usiwe unaachwa na train

3. Restaurant
Hii inauza vitu local kama keki na another, kwanini wasiongeze vitu kama nyama choma waongeze mapato.
Safari ni ya masaa matatu hadi Dodoma. Sio baa ile, ni fast train. Ukifika unakoenda nenda katafute nyama choma. Labda ikifika tuna treni ya Dar - Mwanza/Kigoma kutakuwa na heavy meals kama wali nyama nk. Lakini safari ya masaa 3 unataka usongewe ugali na kiti moto? Ndio maana tunanenepa ovyo Tanzania.

4. System kulag
Last week system ililag watu wakawa wanakosa safari wakati wamenunua ticket. Lakini system ishasolviwa kudos.
Hili nalo wakaliangalie. Haipaswi kuwa hivi, lakini pia weka allowance ya teething problems

5. Waiting Area.
Waiting area imekua ndogo watu wengi wameshauri waongeze ukubwa.
The quality control officer anabidi aput up much effort to satisfy the needs of the people.
Wataongezaje? Waiting area ni sehemu ya design ya jengo lote, na kama kosa limefanyika inaweza kuwa ngumu sana kurekebisha. Sijui lakini, sijafika hapo station nikaona palivyo, maana crowding kwenye platform ni jambo hata station nchi za wenzetu linaonekana, labda ndio maana wao wanatoa dakika 3-5 between train ku park na kuondoka, ili kuzuia crowding. Je wapunguze boarding time from 10-20 minutes kuzuia crowding?
We ni proffesor
 
Pia wameanza uswahili wao unaambiwa treni saa 1:10 ila unaondoka saa 1:30
Mkuu mswahili ni mswahili tu! Anglia stand ya Magufuli ilivyo; haina ustarabu wowote ni sawa na ya Kibaha tu maana mabasi yanapita tu kama yanavyopita Magufuli na kwenda standing za mwisho za Urafiki, Manzese, Mbagala n.k. Serikali imetunia pesa nyingi sana kufidia makazi ya watu lakini eneo lipo tupu linalimwa mchicha, bamia, nyanya,nyanya chungu nk. Serikali ipeni hadhi yake stand ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom