Malalamiko kuhusu SGR yanayotolewa na baadhi ya abiria

Kama nilivyosema awali, ni hear say. Tafuta mtu aliyepanda hii treni akwambie. Wasiwasi wetu ni kuwa itakuwa hivi miaka 1,2,3 ijayo? Ila wameanza vizuri sana na utatamani usafiri na hii treni kila siku.
Hawamalizi miaka 3 hawa
Ila ,I wish them all the best na huu mradi wakijakuZingua tutawaZingua kweli kweli
Biashara ipo,soko wanalo
Washing we wao

Ova
 
Hiyo #2 ni kawaida ya wabongo kugombania

Ova
 
Wakuu hivi kwenye suala la mizigo ni uzito au ni aina ya package ndio inayozingatiwa.
E.g. nikiwa na ile shangazi kaja yangu mpya ndogo nimeweka nguo zangu na uzito ni kama 15kg napenyewe nitazuiliwa au wanaangalia tu aina ya mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…