DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza.
Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe..
Huwezi wasikia wataalamu wa hizi kazi wakitoa lawama kuhusu singo maza maana wao wamebobea kupiga mipira iliyokufa