DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Juninho Pernambucano, the best deadball specialist!Deadball specialist.
AiseeNina ndugu zangu ni single maza ila siombi ukutane nao nishajua kwa nini ndoa ziliwashinda,hata ungekuwa mvumilivu kiasi gani huwawezi
Ndo hivo mkuuAisee
Mimi mwanzoni nilidhani wanaonewa ila kwa hawa wa kwangu ndugu yangu ni mtihani kuishi nao,Nami nilijikakamua Kwa single Maza...dakika za mwisho tumeshindwa..Kuna ukweli kuwa single Maza ni mtihani pevu
Upo naye hapo nyumbani? Inasikitisha sana kiukweli MUNGU awatetee singo maza maana hii vita sio ya mwili bali roho.Mimi mwanzoni nilidhani wanaonewa ila kwa hawa wa kwangu ndugu yangu ni mtihani kuishi nao,
kuna watu hawavumiliki na hawastahili kuishi na watu wengine kwa tabia zao. Hawabadiliki, they are toxic ni bora wakae wenyewe maisha yao yote.Nina ndugu zangu ni single maza ila siombi ukutane nao nishajua kwa nini ndoa ziliwashinda,hata ungekuwa mvumilivu kiasi gani huwawezi
Naunga mkono HojaSingle mother kukutoa mchezoni ni asilimia 99.9🥹,ukitaka kujua unapoenda muulize anayerudi
Ni watatu mpaka nikasema au kuna laana lakini nilivyokaa nao nilijua tatizo lilipo hamna mwanaume anaweza kaa na wale watu,nasema hakunaUpo naye hapo nyumbani? Inasikitisha sana kiukweli MUNGU awatetee singo maza maana hii vita sio ya mwili bali roho.
Kabisa mkuukuna watu hawavumiliki na hawastahili kuishi na watu wengine kwa tabia zao. Hawabadiliki, they are toxic ni bora wakae wenyewe maisha yao yote.