johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani kila line ya Voda ina ofa yake....
Kaka nimekubali n kila line na offer yake...Kaka ni 1000 / ELFU MOJA /BUKU unayoijua wewe. Ntaweka screenshots muone
Inawezekana wanakuchukulia kama mtoto yatima...Yes nakula 1GB kwa 10 days kwa 1000. *149*01# >>> 2 >>> 2
Sawia kabisaNadhani kila line ya Voda ina ofa yake....
Ya kwako tu offer so wengine hawawezi kupata same na hiyoYes nakula 1GB kwa 10 days kwa 1000. *149*01# >>> 2 >>> 2
Nadhani kila line ya Voda ina ofa yake....
[emoji23] dahInawezekana wanakuchukulia kama mtoto yatima...
Vodacom Tanzania