kwani hio mitano iko nje ya nchi?Kuna mitandao 5 hujashikiwa kisu ubakie ulipo. Tusilalamike kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mijamaa haitendi haki kabisa. Mi sina hizo options kabisa yani[emoji23] dahView attachment 1334892
Hili la speed inategemea uko wapi, na vifurushi pia ni hivyohivyo hawaweki sawa kwa nchi nzima, mi tigo nilikuwa napata GB1 kwa buku siku7 saivi ni maumivu mzeeMkuu voda ni ghsli sana lskini huduma zao ni bora zaidi..speed nzuri sana lskini Tigo ni bei rahisi but speed ni mbovu sana.
Mimi nina;
1. Mtandao wa tigo
2. Voda
3. Halotel
But nimechagua voda japo ni ghali 2500/day lakini sijutii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu voda ni ghsli sana lskini huduma zao ni bora zaidi..speed nzuri sana lskini Tigo ni bei rahisi but speed ni mbovu sana.
Mimi nina;
1. Mtandao wa tigo
2. Voda
3. Halotel
But nimechagua voda japo ni ghali 2500/day lakini sijutii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm hii ofa ipo kwanguKWA WALE WOTE MNAOBISHA KUWA VODA WANATOA 1GB KWA BUKU KWA SIKU KUMI KWA MASAA YOTE.View attachment 1334891
Tusaidie iliyo na unafuu nasi tuifuateKuna mitandao 5 hujashikiwa kisu ubakie ulipo. Tusilalamike kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app