Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Kupunguza Vifurushi na jambo moja Jambo Baya sana Umejikongoja kupata hako ka GB
Yaani Kanavyo isha!

Kiukweli Mitandao imekuwa Majanga kwa sasa. Mie napata Data safi shida GB 5
Zinapita kwa Muda mfupi sana tofauti na Zaman
 
Mimi nina mtazamo tofaut kidogo. Mitandao ya simu ikipandisha vifurush hasa vya internet bei kuwa juu nadhani watumiaji wa internet hasa kwenye social networks huku watapungua kwa asilimia kubwa hvyo wakosoaji watapungua pia. Hvyo ni game ya Win-lose kwa wanene. Kwahyo unataka TCRA wapige kelele kweli hapo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii mijamaa haitendi haki kabisa. Mi sina hizo options kabisa yani
Screenshot_20200126-085650_Phone.jpg
Screenshot_20200126-085650_Phone.jpg
 
Mkuu voda ni ghsli sana lskini huduma zao ni bora zaidi..speed nzuri sana lskini Tigo ni bei rahisi but speed ni mbovu sana.
Mimi nina;
1. Mtandao wa tigo
2. Voda
3. Halotel
But nimechagua voda japo ni ghali 2500/day lakini sijutii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la speed inategemea uko wapi, na vifurushi pia ni hivyohivyo hawaweki sawa kwa nchi nzima, mi tigo nilikuwa napata GB1 kwa buku siku7 saivi ni maumivu mzee
 
Mkuu voda ni ghsli sana lskini huduma zao ni bora zaidi..speed nzuri sana lskini Tigo ni bei rahisi but speed ni mbovu sana.
Mimi nina;
1. Mtandao wa tigo
2. Voda
3. Halotel
But nimechagua voda japo ni ghali 2500/day lakini sijutii

Sent using Jamii Forums mobile app

2,500 per day... Yaani kwa mwezi unatumia TZS 75,000 kwenye vifurushi. Wewe ni Youtuber???
 
Wanafidia mapato yaliyopotea kwa wale waliofungiwa...

Ifikie wakati TCRa iwe inatoa Bei elekezi Kama wale wa eWUra...
 
Kingsmann,

Kinachokera tigo ni kitu kimoja, unanunua GB 10 unatumia siku mbili hata movie hujaangalia! Voda unaunga GB 5, utaangalia movie mpaka ubinuke! Na utaitumia ipasavyo mpaka unaona unawadhulumu sasa!

Sijaelewa hizi settings za utumikaji wa data ni tofautii? na sijui TCRA wanajua haya!?
 
Hivi ule mtandao wa Smart bado upo huko dar es salaam
Je bado hujasambaa na mikoa mingine?
 
Back
Top Bottom