Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Mi nimewakimbia juzi,,walikula 500 yangu kimasihala nikaona huu ujinga,hamia halotel nao wakizingua hamia zantel nso wakizingua nenda ttcl.Ndio maana Voda niliwakimbia kitambo sana.
kuipata hii inakuaje mkuu?Ttcl ipo juu, kwa buku unapewa GB 4 asubuhi mpaka SAA mbili usiku unapewa 500 alafu unamalizia GB 3.5 kuanzia saa mbili usiku mpaka kukuche, na speed ni 4G
Kwa wengine wenye connections wanaungwagwa data lisilo na kikomo Voda kwa 35,000 kwa mwezi, naskia hili lipo kwa wafanyakazi wa Voda ila limevujishwa, kuna mshkaji wangu hata mwezi haujaisha kashusha gb mia nane hadi sasa maana anashushia wenzake movie na series
Fanya kuweka buku tano then jiunge hiko kifurushi kwa kujirudia rudia GB 5 kwa siku 10 haina hasara.Nmeona hii pia ila naona ni useless kujiunga since Gb 1 ni ndogo mno mpk ujibane kwny matumizi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa upande wangu Voda sikuwaacha hivi hivi kinyonge.Mi nimewakimbia juzi,,walikula 500 yangu kimasihala nikaona huu ujinga,hamia halotel nao wakizingua hamia zantel nso wakizingua nenda ttcl.
Hao wakizingua Rudi slp
Fanya kuweka buku tano then jiunge hiko kifurushi kwa kujirudia rudia GB 5 kwa siku 10 haina hasara.
Mkuu ni muhimu ufahamu mitandao ya simu haitegemei sisi wateja wa huku chini. Mfano TTCL ina wateja laki 3 tu lakini ina service makampuni lukuki kwa issue za internet na minara ya simu. Kiufupi Mtandao wa simu uki service Kampuni 1 faida yake ni zaidi ya wateja wa mbagala 10,000.Chakaza,
Kama line milioni 20 zinafungiwa unadhani haya makampuni ya simu yatajiendeshaje?Kumbuka fixed costs zao ziko pale pale!
Mkuu kuna kazi nyingi tunazipeleka online, kuna issue ya transfer za kibenki nk yote unakuta inabidi uwe online muda mwingi.Sio lazima kuingia online daily,
Panga kwa wiki Mara mbili inatosha
TTCL hii hii ya Bongo ni ISP kwa makampuni lukuki na minara ya simu?Mkuu ni muhimu ufahamu mitandao ya simu haitegemei sisi wateja wa huku chini. Mfano TTCL ina wateja laki 3 tu lakini ina service makampuni lukuki kwa issue za internet na minara ya simu. Kiufupi Mtandao wa simu uki service Kampuni 1 faida yake ni zaidi ya wateja wa mbagala 10,000.
Faida ya biashara ni wateja corporate hata wakiwa 10 tu wanacover fixed cost. Kwahiyo huwezi justify kupandisha bei kwa soko la wateja rejareja kupungua zaidi unaangalia soko gani ukajizatiti liwe la makampuni/serikali n.k
Hajui asemalo
na kweli,mimi menu ile nmepga nmekutana na MB 100 kwa 1000
Hahaa apa swala sio kua mwanafunzi wachuo fulani mkuu ila nipale unapokua umesajili laini kwagarama zajuu kidogo tofauti na laini zakawaida nakuaminishwa kua lain hii niyachuo nakweli nilikua napata huduma vzr tu hadi hiyo juzi yalivyoleta hayo mapinduzi
Hiyo ofa hata mimi nimetumiwa meseji na voda kua weka buku upate GB 1 kwa siku 10 na jana nimetumiwa meseji ya ofa kua niki-download app yao ya vodacom ntapewa bonus ya MB 500 bure[emoji23] dahView attachment 1334892
Kwa hiyo 3000 kwa siku 7 unalalamika hahahaha hujakutana na bwana voda 2500 saa 24 na GB ni 1.2 tu hakuna bonus wala babu yake bonus na zinatembea speed ya bullet train usipo restrict background datasjatumia line yang ya tgo kitambo huu uzi ukanifanya nibonyeze menu ya UNI offer nlichokikuta ni siri ya tgo na clientView attachment 1334540
Sent using Jamii Forums mobile app