Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Honestly Tanzania makampuni ya simu karibu yote huwa hawana kitu kama kum-retain mteja, kumwongezea Bando au airtime kwa kuwa mara kwa mara ananunua airtime na bando.

Huduma zimekaa kinyonyaji tu; it's unthinkable mtu ilikuwa unapata 2GB kwa buku 2 in 3days over a sudden wanaondoa.
Kama ni investment cost walisharejesha, na huwa nawaza, hakunaga regulatory authority kama EWURA ku-regulate bei. Maama kwenye miamala nako balaa. Mtu unatoa elfu 40 unakatwa 2300. This is a lot.

Bank Atm laki 4 makato 700 mpaka 1000; inakuwaje mtu anatoa laki 1 anakatwa 2700.

BoT wanao-regulate taasisi za fedha, huduma za kifedha kwenye simu, wizi umezidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ttcl ipo juu, kwa buku unapewa GB 4 asubuhi mpaka SAA mbili usiku unapewa 500 alafu unamalizia GB 3.5 kuanzia saa mbili usiku mpaka kukuche, na speed ni 4G

Kwa wengine wenye connections wanaungwagwa data lisilo na kikomo Voda kwa 35,000 kwa mwezi, naskia hili lipo kwa wafanyakazi wa Voda ila limevujishwa, kuna mshkaji wangu hata mwezi haujaisha kashusha gb mia nane hadi sasa maana anashushia wenzake movie na series
kuipata hii inakuaje mkuu?
 
Mi nimewakimbia juzi,,walikula 500 yangu kimasihala nikaona huu ujinga,hamia halotel nao wakizingua hamia zantel nso wakizingua nenda ttcl.
Hao wakizingua Rudi slp
Mimi kwa upande wangu Voda sikuwaacha hivi hivi kinyonge.

Nimesepa na deni lao la M-PAWA.

#ShenziTaipu!
 
Rudini nyumbani kumenoga (TTCL)

Sent using Intercontinental Ballistic Missile
 
Chakaza,
Kama line milioni 20 zinafungiwa unadhani haya makampuni ya simu yatajiendeshaje?Kumbuka fixed costs zao ziko pale pale!
Mkuu ni muhimu ufahamu mitandao ya simu haitegemei sisi wateja wa huku chini. Mfano TTCL ina wateja laki 3 tu lakini ina service makampuni lukuki kwa issue za internet na minara ya simu. Kiufupi Mtandao wa simu uki service Kampuni 1 faida yake ni zaidi ya wateja wa mbagala 10,000.

Faida ya biashara ni wateja corporate hata wakiwa 10 tu wanacover fixed cost. Kwahiyo huwezi justify kupandisha bei kwa soko la wateja rejareja kupungua zaidi unaangalia soko gani ukajizatiti liwe la makampuni/serikali n.k
 
Chakaza, umelalamika vizuri hongera lakini hili la kutaka wanasiasa kuendelea kusimamia TCRA sihafikiani na wewe kwani ni sawa na kuendelea kuyala matapishi kama si kuyarudia, watafutwe WATU wenye weledi na taaluma ihusuyo mambo ya TCRA wawe viongozi, hawa wanasiasa ni shida humu duniani
 
Mkuu ni muhimu ufahamu mitandao ya simu haitegemei sisi wateja wa huku chini. Mfano TTCL ina wateja laki 3 tu lakini ina service makampuni lukuki kwa issue za internet na minara ya simu. Kiufupi Mtandao wa simu uki service Kampuni 1 faida yake ni zaidi ya wateja wa mbagala 10,000.

Faida ya biashara ni wateja corporate hata wakiwa 10 tu wanacover fixed cost. Kwahiyo huwezi justify kupandisha bei kwa soko la wateja rejareja kupungua zaidi unaangalia soko gani ukajizatiti liwe la makampuni/serikali n.k
TTCL hii hii ya Bongo ni ISP kwa makampuni lukuki na minara ya simu?
Network yake hadi nipande kwenye kichuguu sijawahi kuiona 3G ya TTCL mimi
 
Stopper3, Hizo GB 15 za mwezi mzima umezielewa zinavyokua?

Yani unapewa limit kua kwa siku utumie MB 500 tu, ukitumia MB 500 unatakiwa usubirie kesho tena otherwise ununue bando lingine

It's Scars
 
sjatumia line yang ya tgo kitambo huu uzi ukanifanya nibonyeze menu ya UNI offer nlichokikuta ni siri ya tgo na clientView attachment 1334540

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo 3000 kwa siku 7 unalalamika hahahaha hujakutana na bwana voda 2500 saa 24 na GB ni 1.2 tu hakuna bonus wala babu yake bonus na zinatembea speed ya bullet train usipo restrict background data
.
Nipe hiyo laini niishi nayo mimi ntachekelea sana
 
Back
Top Bottom