Umemjibu vema sanaUngekuwa unatafuta hela usingepata muda wa kuwashangaa wanaolalamikia vifurushi. Muda umetoa wapi wa kusoma comments zao.
Umemjibu vema sanaUngekuwa unatafuta hela usingepata muda wa kuwashangaa wanaolalamikia vifurushi. Muda umetoa wapi wa kusoma comments zao.
Kwa Sasa kama upo sehemu halotel inakamata vizuri bora uwe na line ya halotel tu wengine wezi tuKwa sa hivi kama hutumii TTCL au Halotel una wakati mgumu sana wa bando.
Tena nao hadi ujue vifurushi vyao vizuri vilipo kama Halotel wamevificha vifurushi vyao kwenye Halo Pesa, Tigo acha ibaki kwa Tigo pesa tu. Kwakweli Tigoni kero; mtu najiunga unanipa msg 5? sasa zina kazi gani? Et mia 5 unapata dakika 7 mitandao yote sijui na vimeseji vingapi. Wakati Halotel wanakupa 18.
Maisha ni kupanga na kuchagua.
wewe unatafutia hela jf?Hivi mnapata wapi muda wa kulalamikia vifurushi badala ya kutafuta hela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ttcl dak 250 kwa mwezi mitandao yote 4000 pia GB 3 kwa mwezi 5000 hii ipo kwa watumishi pekee. Kwa wenye ttcl cheki *148*30# OFA MAALUM - WATUMISHINimeona watu wengu sana wakilalamika kuhusu suala la mtandao wa Tigo kubadili vifurushi, ni kweli wamefanya hivyo ila mimi bado niko nao. Nimepiga hesabu zangu na matumizi yangu, elfu 15 hadi 20 itanitosha kwa mwezi ikizidi sana ni 25.
Siungi mkono walichokifanya ila itaniathiri zaidi nikihama maana ndugu zangu na watu wa karibu asilimia 90 wanatumia laini za Tigo. Nikihama wengine kwa hali zao hata kunibeep watashindwa.
Aaaah hawa jamaa wahuni tu, kama wangetaka hivyo vifurushi wanufaike wanachuo tu basi wasingeziuza mtaani.
Kwa menu ipi mkuu?Mimi nshapata mbadala wa kifurushi cha chuo, ni Zantel tu 1000 unapata data 1gb sms 100 voice , hiki ni unlimited
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unasoma chuo gani?Binafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati