Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Umeeleza mengi ambayo kwa maoni yangu naona kama ni mhemko tu,

Kwa mtumiaji wa tigo kama mimi nimefurarhia sana kifurushi cha 10,000\= cha mwezi mmoja, ambacho kina dk. 1150.
Kati ya hizo 6000 ni za mitandao yote na 550 hizi ni za kuanzia saa nne usiku hadi asubui!
NANI MWINGINE ANATOA DK. KAMA HIZO? tigo bado ni babalao kwa gharama nafuu kbsa ktk muda wa maongezi!

Yote ulioyaeleza bila kusema umeasirikaje, na bila kuangalia maslai ya wengi utapoteza watu!

Airtal wana wanatoa dk. 450 kwa mwezi kwa sh. 10,000/ ungeongea kwa vigezo ili tufananishe!


Sent using Redmi Y2
 
Mtandao ambao naamini kwa sasa unapata wateja wengi wapya kila siku hadi unashindwa kujielewa ni HALOTEL tuendelee kusubiri tu tutaona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenena vyema kabisa. Kwa sasa halotel ndio wanavuna wateja wengi na ukiangalia wanatumia approach zile zile ambazo tigo walitumia ktk penetration.

Tigo sijui wanakwama wapi hawa!!!
 
Si vibaya kuchepuka kuona vya nje.
Njooni TTCL mmalize kilio chenu.
Screenshot_20200127-194518_Messages.jpeg
Screenshot_20200127-194453_Phone.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAKUNA KAMPUNI ITAKAYOKUFA HAPO NA KAMA HUJUI HAWA JAMAA HUWA IKIFIKIA MUDA WANAKUBALIANA NA WANAWEKA BEI ZINAZOFANANA NA KUENDELEA KUMNYONYA MTANZANIA, VODA NA AIRTEL NAO USISHANGAE UKIONA WANAPANDISHA BEI ZAO PIA
 
mkuu angalia taarifa ya TCRA ujue tigo inamiliki percent ngapi ya soko ili upate picha kama kufa ni kirahisi hivyo...
Kwanza risk na gharama ya kuhama mtandao ni ndogo sana hivyo, wanajua fika market reaction ni ipi na wao watafanya nini ili kuendana nayo
 
Back
Top Bottom