Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Elfu 1 unapata gb 1
Elfu 1500 gb 1 na mb 500 za YouTube
Elfu 5 gb 5
Hizi menu zipo halopesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu 1 unapata gb 1
mkuu angalia taarifa ya TCRA ujue tigo inamiliki percent ngapi ya soko ili upate picha kama kufa ni kirahisi hivyo...
Kwanza risk na gharama ya kuhama mtandao ni ndogo sana hivyo, wanajua fika market reaction ni ipi na wao watafanya nini ili kuendana nayo
Sijaangalia hivi karibuni lakini miaka michache imepita vida ikiongoza, inafatia airtel ambapo waliwapita Tigo kidogo sana. Ishu ipo hivi tigo waliwekeza kwa vijana na wanafunzi ambao kwa vifurushi vya sasa wanafunzi na vijana hao hawawezi kumudu. Kwa mtu wa kati anaweza kuweka elfu 10 apate hayo madakika na atoe elfu 5 labda anunue mb ila wanafunzi hawawezi fanya hiyo kitu. Wataenda Kule ambapo watapata GB kwa buku na dk za kutosha kwa 500.
Kumbuka hawa ndio wateja wa 'msingi' wa Tigo. Kuwabadilishia options hizi lazima tu watahama na kwa kuwa wao ni risk takers basi ndio kabisaa.
ha ha ha, acha masihara jombiiii, cocacola ife?? Ati niniiiiiiii. Umezaliwa umeikuta na utakata ringi utaiacha. Maki mai wedi.
Aina ya wateja wa voda, mfano mama yangu, humuamishi milele, namba yake tangu mwaka 2000Haujafanya uchambuzi yakinifu. Vifurushi vya Tigo ni nafuu sana kwa sasa kuliko Voda. Yani wateja wooote wa Voda wanaenda kuhamia Tigo very soon mimi nikiwa mmoja wao.
Unforgetable
Halotel iko vizuri sana kwa sasa hivi sifikirii tena kuhusu data. Mfano unapata gb 1 wiki nzima kwa sh 1000
Kitu ambacho mitandao mingine hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tigo hawahawa wa tsh.2500 dakika 250 mitandao yote, mb 1500 na sms kibao kwa wiki wafe kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu kwa mara ya kwanza nimekuona kwenye uzi ambao siyo wa jukwaa la wakubwa!!Hamna tena hivyo vifurushi...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Duh! Mkuu kwa mara ya kwanza nimekuona kwenye uzi ambao siyo wa jukwaa la wakubwa!!
neo yangu Halotel haishikiKwa Sasa kama upo sehemu halotel inakamata vizuri bora uwe na line ya halotel tu wengine wezi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel ya ukweli sanaKwa sa hivi kama hutumii TTCL au Halotel una wakati mgumu sana wa bando.
Tena nao hadi ujue vifurushi vyao vizuri vilipo kama Halotel wamevificha vifurushi vyao kwenye Halo Pesa, Tigo acha ibaki kwa Tigo pesa tu. Kwakweli Tigoni kero; mtu najiunga unanipa msg 5? sasa zina kazi gani? Et mia 5 unapata dakika 7 mitandao yote sijui na vimeseji vingapi. Wakati Halotel wanakupa 18.
Maisha ni kupanga na kuchagua.