Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Haloteli hawa hapa, nikitupia ten langu natembea karibia mwez mzima
Screenshot_20200126-213737_Phone.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuende turudi jamani Halotel haina mpinzani kwenye swala la mb. Just buy them bundle via halopesa yao uta enjoy, mb natumia halotel kifurushi cha mega bundle elfu kumi kwa mwezi napata gb 15 limit matumizi 500mb per day, sasa huwa naongeza mega bundle ingine ya elfu kumi napata gb 10 hizi huwa natumia pale napozid matumizi yangu ya 500 MB per day! Since Voda tunatumia sana kwa ajili ya miamala na watu wengi wako huko najiunga na pindua pindua ya mwezi 15000 siku zinaenda!
 
Kwa sa hivi kama hutumii TTCL au Halotel una wakati mgumu sana wa bando.

Tena nao hadi ujue vifurushi vyao vizuri vilipo kama Halotel wamevificha vifurushi vyao kwenye Halo Pesa, Tigo acha ibaki kwa Tigo pesa tu. Kwakweli Tigoni kero; mtu najiunga unanipa msg 5? sasa zina kazi gani? Et mia 5 unapata dakika 7 mitandao yote sijui na vimeseji vingapi. Wakati Halotel wanakupa 18.

Maisha ni kupanga na kuchagua.
Kwa Sasa kama upo sehemu halotel inakamata vizuri bora uwe na line ya halotel tu wengine wezi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona watu wengu sana wakilalamika kuhusu suala la mtandao wa Tigo kubadili vifurushi, ni kweli wamefanya hivyo ila mimi bado niko nao. Nimepiga hesabu zangu na matumizi yangu, elfu 15 hadi 20 itanitosha kwa mwezi ikizidi sana ni 25.

Siungi mkono walichokifanya ila itaniathiri zaidi nikihama maana ndugu zangu na watu wa karibu asilimia 90 wanatumia laini za Tigo. Nikihama wengine kwa hali zao hata kunibeep watashindwa.
 
Ttcl dak 250 kwa mwezi mitandao yote 4000 pia GB 3 kwa mwezi 5000 hii ipo kwa watumishi pekee. Kwa wenye ttcl cheki *148*30# OFA MAALUM - WATUMISHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa ni TTCL pekee wenye vifurushi nafuu sana.
Kuna kifurushi unapata dk 340 kwa siku 30 mitandao yote kwa 5000 tu.
 
Dah nilijikuta nanunua mb 75 kwa 500 na sijajiungaga tena baada ya hapo mana hata ilo jero nlijua nanunua mb300 ndio nkakutana na hayo mabadiliko.Dah mb 75 mimi ntazifanyia nini.Nipo Tttcl kwa sasa 500 mb600 sina utumwa wa kimtandao hasa soko huria kama ili akizingua uyu nahamia huku maisha yaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom