Mtandao ambao naamini kwa sasa unapata wateja wengi wapya kila siku hadi unashindwa kujielewa ni HALOTEL tuendelee kusubiri tu tutaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tigo hawahawa wa tsh.2500 dakika 250 mitandao yote, mb 1500 na sms kibao kwa wiki wafe kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Menu ganMkuu tigo hawahawa wa tsh.2500 dakika 250 mitandao yote, mb 1500 na sms kibao kwa wiki wafe kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel unapata gb 5 kwa elfu 5 wiki nzima.sjatumia line yang ya tgo kitambo huu uzi ukanifanya nibonyeze menu ya UNI offer nlichokikuta ni siri ya tgo na clientView attachment 1334540
Sent using Jamii Forums mobile app
NakipatajeHii inapatikana tigo tu
Tigo baba LaoView attachment 1337446View attachment 1337448
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi tumia voda, wazinguaji tuHaujafanya uchambuzi yakinifu. Vifurushi vya Tigo ni nafuu sana kwa sasa kuliko Voda. Yani wateja wooote wa Voda wanaenda kuhamia Tigo very soon mimi nikiwa mmoja wao.
Unforgetable
Hamia halotel mkuu hutajuta, gb 1 kwa elfu 1 wiki nzimaVodacom niliipaki two year kwa ajili napokea simu tu, ila sasa Tigo nayo naipaki kuanzia leo,,
Wakuu nihamie wapi? Airtel/halotel/
Sent using Jamii Forums mobile app