Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020


Sijaangalia hivi karibuni lakini miaka michache imepita vida ikiongoza, inafatia airtel ambapo waliwapita Tigo kidogo sana. Ishu ipo hivi tigo waliwekeza kwa vijana na wanafunzi ambao kwa vifurushi vya sasa wanafunzi na vijana hao hawawezi kumudu. Kwa mtu wa kati anaweza kuweka elfu 10 apate hayo madakika na atoe elfu 5 labda anunue mb ila wanafunzi hawawezi fanya hiyo kitu. Wataenda Kule ambapo watapata GB kwa buku na dk za kutosha kwa 500.

Kumbuka hawa ndio wateja wa 'msingi' wa Tigo. Kuwabadilishia options hizi lazima tu watahama na kwa kuwa wao ni risk takers basi ndio kabisaa.
 

Mkuu naomba uingie website ya TCRA, statistics zipo wazi. Bongo ni Vodacom vs Tigo kwenye market share, ikifuatiwa na Airtel kwa mbali...

Labda mwaka huu ndio airtel anaweza kuwa kapata edge kwenye soko kutokana na promo nyingi plus vifurushi vya gharama ndogo haswaa kwenye Data .. rejea tag yao "smartphone network"...

Pia ungeisoma comment yangu ukaielewa mkuu, Switching costs na risks zinapokuwa ni ndogo. Ni rahisi sana kuinfluence market reaction hivyo, tigo kufa si leo wala kesho na wao wanalijua hili
 
Voda market share ana 33%
Tigo 27%
Airtel 26%
Halotel 10%

Voda 14,187,223
Tigo 12,132,187
Airtel 11,505,012
Halotel 3,979,680
Zantel 1,231,643
TTCL 837,024

Takwimu hizo hapo wadau
Source-Tcra website

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigo wanavujishia wateja Halotel bila wao kujielewa
 
Mh,hilo wazi naona halina mashiko kabisa,unasema tigo kufa wakati hapo juzi kati walisema wameinunua kampuni ya Zantel ili kupanua soko lao kwa upande wa Zanzibar
 
Halotel ya ukweli sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…