Ni kweli ila si kila mara.
Kiujumla voda cyo.
Unajua watz ni watu wa ajabu sana.Haujafanya uchambuzi yakinifu. Vifurushi vya Tigo ni nafuu sana kwa sasa kuliko Voda. Yani wateja wooote wa Voda wanaenda kuhamia Tigo very soon mimi nikiwa mmoja wao.
Unforgetable
Sijaona hata... Labda utuambie baada ya kupiga una select namba gani hata unapata kifurushi
Dah sawa....wengine bado
Wanakufa kweli mi nimehamia Airtel package zao bombaYule jamaa alifungua kesi kuhusu haya makampuni ya mawasiliano aliishia wapi?
kweli mkuu wamerekebisha nilikuwa sijaona mana niliwapotezea tangu ijimaa hata kwangu kwenye size yako wamebadilisha mana ijumaa nilitaja kujiunga nikakuta vifurushi vya kise kinoma wametoa ile ofa ya uniofaMkuu mimi waliondoa vifurushi ijumaa wakaleta vibovu sana lakini jana wakaleta vimeboreshwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Buku (dakika 260, MBs 10 😵 , Sms 50) kwa mwezi. Kilichonivutia hapa ni dakika. Sms huwa naunga bundle la mwezi pia kwa buku napata sms buku. So, nikiwa Airtel budget yang huwa buku 2 kwa mwezi. Kinachonisumbua sasa ni mtandao nafuu kwa bundle za Internet. Niende wapi wakuu?Baharia Wa Buza said:Sms au