TEZIJIKE 2
Senior Member
- Nov 18, 2019
- 171
- 962
Kumbe wanayo sababu.Wameona wengi watafungiwa line kwa kutosajili wameamua kupandisha tozo kufidia line ambazo hazitakuwepo.
Karibu TTCLYani mwenzenu nimekata tamaa na bando za tigo zimebadilika ghafla bila taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi TTCL ina kifurushi cha Chuo?Acha kuhangaika, hamia TTCL kila siku nakwambia nyumbani kumenoga, huku mabando mpaka huwezi kuyamaliza. CCM oyeeee, Magufuli oyeee....
Turudi nyumbani kumenoga
Sema network ipo slow baadhi ya sehmu View attachment 1333203
Sent using Jamii Forums mobile app