Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Kopa uwaachie nyoya, hivi TTCL hamuisikii au dharau tu

Sent using Jamii Forums mobile app

TTCL ndio hovyooo acha tu, jana nimejiunga kifurushi cha toboa night internet yake mawenge kik*ma yani. Mpaka sasa hivi nimeamua hiyo laini iwe kwenye rooter ili isipotee tu. Mie nipo halotel na nitabaki halotel labda nawao waanze kubadilika.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Turudi nyumbani kumenoga
Sema network ipo slow baadhi ya sehmu
Screenshot_20200124-201735.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom