Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Wewe n tgonipi unaizungumzia??tigo bado wachovu
Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndo mpaka utangaze kuwa tigo yako ipo vizuri kwa sasa? Imeshasajiliwa kwa vidole now you feel good?
 
Kwa experience niliyonayo.. hii utoa kama one time offer... Ikiisha Jaribu tena... uone kama vitakuwepo.. kisha lete mrejesho
Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?
Hahahah. Ndugu yangu hizo bonus zuga tu hamna kitu. Mimi nimetumia nikaona sielewi hizo bonus zinaisha vip. Nikapiga tigo customer care ili waniambie hizo bonus zinatumika vipi. Hawajanipa majibu ya kutosha ila wanasema bonus inatumika usiku tu kuanzia saa 4 mpaka 11 asubuhi. Wameshindwa hata kuwaeleza wateja kama hiyo bonus inatumika hiyo. Kwa kifupi kama bundle imeisha na umebakiwa na bonus mida ya mchana ni sawa sawa huna kitu. TCRA wawashukie hawa wayni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20200203_193119.JPG
    IMG_20200203_193119.JPG
    34 KB · Views: 1
Hahahah. Ndugu yangu hizo bonus zuga tu hamna kitu. Mimi nimetumia nikaona sielewi hizo bonus zinaisha vip. Nikapiga tigo customer care ili waniambie hizo bonus zinatumika vipi. Hawajanipa majibu ya kutosha ila wanasema bonus inatumika usiku tu kuanzia saa 4 mpaka 11 asubuhi. Wameshindwa hata kuwaeleza wateja kama hiyo bonus inatumika hiyo. Kwa kifupi kama bundle imeisha na umebakiwa na bonus mida ya mchana ni sawa sawa huna kitu. TCRA wawashukie hawa wayni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujanunua wanakwambia kabisa bonus inatumika muda upi,SAA(5-11)...hicho kifurushi cha kwanza bonus ni dak 90...hizo dak 160,SMS 50 na GB 1.5 unatumia muda wote
 
Huyu jamaa tigo yake imemuudhi hadi kaivunja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Attachments

  • IMG_4589.JPG
    IMG_4589.JPG
    65 KB · Views: 1
Wanasema ukijiunga na kifurushi hicho ch saizi yako kwa 1500 Tsh, utapata dakika 120, MB 800 na sms kama 100 kwa wiki. Ukijaribu kujiunga inakuletea upuuzi huu wa Mb 1500 na sms kama 200??? kwa wiki.
Why tell uongo.
 
Why tell uongo
Waongo sana wanafanya promotion ya uongo tcra wapo wapi wawathibiti hao tigo wanatuibia..
 
Back
Top Bottom