nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?
Kumbe hizo tigo zenu hazifanani vifurushi!?Eeh bana!! Mkuu tigo yako imenona 👐
Me kuna buku mb 100 na dk 20
GB 1.5 kwa week - 3000
Me bado hali mbaya
Nilipo kasi yao inaendana na voda.. Nzur sana
Mkuu wewe tigo yako bado iko vibaya?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe hizo tigo zenu hazifanani vifurushi!?
Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?
Kwa experience niliyonayo.. hii utoa kama one time offer... Ikiisha Jaribu tena... uone kama vitakuwepo.. kisha lete mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nagusa tu
Kwa sekunde
Hahahah. Ndugu yangu hizo bonus zuga tu hamna kitu. Mimi nimetumia nikaona sielewi hizo bonus zinaisha vip. Nikapiga tigo customer care ili waniambie hizo bonus zinatumika vipi. Hawajanipa majibu ya kutosha ila wanasema bonus inatumika usiku tu kuanzia saa 4 mpaka 11 asubuhi. Wameshindwa hata kuwaeleza wateja kama hiyo bonus inatumika hiyo. Kwa kifupi kama bundle imeisha na umebakiwa na bonus mida ya mchana ni sawa sawa huna kitu. TCRA wawashukie hawa wayni.Eeh bhana eeh wameanza kunifariji kiasi....Hii ni ile menyu ya saizi yako.
Wananipa dk 160+dk 90 bonus SMS 50 mb 1536 kwa wiki 1500/=... Pia kuna hiki kifurushi cha data 5000/= GB 3 + GB 3(bonus) jumla GB 6 wiki... Vya siku pia vipo sema sivipendelei... Kwa kweli mmeanza kunifurahisha... Ngoja nirudi coz nilisusa... Ila mkichenji gia nachomoka tena... Tutakuwa tunazungushana hivyo hivyo... Wenzangu vipi kwan?
Hazifanani kabisa.Kumbe hizo tigo zenu hazifanani vifurushi!?
Kabla hujanunua wanakwambia kabisa bonus inatumika muda upi,SAA(5-11)...hicho kifurushi cha kwanza bonus ni dak 90...hizo dak 160,SMS 50 na GB 1.5 unatumia muda woteHahahah. Ndugu yangu hizo bonus zuga tu hamna kitu. Mimi nimetumia nikaona sielewi hizo bonus zinaisha vip. Nikapiga tigo customer care ili waniambie hizo bonus zinatumika vipi. Hawajanipa majibu ya kutosha ila wanasema bonus inatumika usiku tu kuanzia saa 4 mpaka 11 asubuhi. Wameshindwa hata kuwaeleza wateja kama hiyo bonus inatumika hiyo. Kwa kifupi kama bundle imeisha na umebakiwa na bonus mida ya mchana ni sawa sawa huna kitu. TCRA wawashukie hawa wayni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waongo sana wanafanya promotion ya uongo tcra wapo wapi wawathibiti hao tigo wanatuibia..Wanasema ukijiunga na kifurushi hicho ch saizi yako kwa 1500 Tsh, utapata dakika 120, MB 800 na sms kama 100 kwa wiki. Ukijaribu kujiunga inakuletea upuuzi huu wa Mb 1500 na sms kama 200??? kwa wiki.
Why tell uongo