Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Hiyo Furushi imekaa poa zaidi π€£π€£π€£Mod rekebisha VIFURUSHI
Upigwe tu maana hamna namna ingine! Aliokwambia mtandao ni tigo tu hapa nchini ni nani?Terehe 23 hadi 27 january kifurushi cha 3000 unapata dakika 120 sms 100 na gb1
Ila kuazia jana mambo yame badilika kufurishi cha 5000 ndo unapata kama hapo juu, na cha 3000 imekuwa vichekesho kwa kweli dakika 100 mb 500 sijui na sms ngapi
Kweli number lazima tuisome kwenye nchi ya kijani kitupu
Mitano tena View attachment 1688753
Rudi nyumbani kumenoga acha kuzurula huko kwa mabeberuTerehe 23 hadi 27 January kifurushi cha 3000 unapata dakika 120 SMS 100 na GB1
Ila kuazia jana mambo yame badilika kufurishi cha 5000 ndo unapata kama hapo juu, na cha 3000 imekuwa vichekesho kwa kweli dakika 100 MB 500 sijui na SMS ngapi.
Kweli number lazima tuisome kwenye nchi ya kijani kitupu.
Mitano tena
View attachment 1688753
Tigo siyo sijui nihamie wapi
Zantel tu ndio jibu la wanyonge waliochoka mateso.Tigo siyo sijui nihamie wapi
πππππ hii ni sawa na kukimbia vibao vya nyani na kukimbilia fimbo za mkia wa TaaNjoo voda