Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Terehe 23 hadi 27 January kifurushi cha 3000 unapata dakika 120 SMS 100 na GB1

Ila kuazia jana mambo yame badilika kufurishi cha 5000 ndo unapata kama hapo juu, na cha 3000 imekuwa vichekesho kwa kweli dakika 100 MB 500 sijui na SMS ngapi.

Kweli number lazima tuisome kwenye nchi ya kijani kitupu.

Mitano tena

Screenshot_20210129-072051.jpg
 
Safari ya ile mitano ndio ina anza sasa February tuvumiliage tu tuna mengi tutayashuhudia.
 
Terehe 23 hadi 27 january kifurushi cha 3000 unapata dakika 120 sms 100 na gb1
Ila kuazia jana mambo yame badilika kufurishi cha 5000 ndo unapata kama hapo juu, na cha 3000 imekuwa vichekesho kwa kweli dakika 100 mb 500 sijui na sms ngapi
Kweli number lazima tuisome kwenye nchi ya kijani kitupu

Mitano tena View attachment 1688753
Upigwe tu maana hamna namna ingine! Aliokwambia mtandao ni tigo tu hapa nchini ni nani?
 
Terehe 23 hadi 27 January kifurushi cha 3000 unapata dakika 120 SMS 100 na GB1

Ila kuazia jana mambo yame badilika kufurishi cha 5000 ndo unapata kama hapo juu, na cha 3000 imekuwa vichekesho kwa kweli dakika 100 MB 500 sijui na SMS ngapi.

Kweli number lazima tuisome kwenye nchi ya kijani kitupu.

Mitano tena

View attachment 1688753
Rudi nyumbani kumenoga acha kuzurula huko kwa mabeberu
 
Screenshot_20210129-082244.png
Screenshot_20210129-082332.png
Screenshot_20210129-082440.png

Kupanga ni kuchagua, usjilize lize kipumbavu wakati umechagua kumenya kitunguu maji ikiwa kuna maepo!
 
Back
Top Bottom