Bila shaka unatumia muda mwingi mtandaoni. Inakuingizia chochote lakini ??
Nilikuwa nina mpango wa kujiunga na TTCL, lakini wewe umenichefua kabisa! Bora niendelee kuumizwa na hawa tG!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sinunui tena mabando yao kwanza ni wezi wa vifurushi vya internetHabari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi wananchi wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa lain ya mtandao gani mkuu.!Njoo nikuuzie line yangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hameni hukoMafala sana haya majamaa nmejiunga kifurush cha buku et yamenipa dakika 75 za kuongea kuanzia saa tano usiku mpaka saa kumi na moja alfajili kesho nanunua ttcl kesho
Na hivi line yenyewe usajili wake wakihuni ngoja niitupilie mbali kabisa
Kabla ya kufikiria kuhama mtandao fikiria kutafuta hela zaidi...maanake naona waliolalamika ni wale wa bundles za chini ya dollar moja ila wale wa 30k uko wanaona wamepunguziwa mzigo
Thank me later!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hama na namba yako mkuu!, fanya kitu inaitwa portability, namba yako yooote inahama kwenda popote. Na Tigo watajua kuwa umehamaHata mimi tigo byebyeee. Itakua ya kupokea tu. Ngoja nitafute halotel
Sio wao ni mazingiraTIGO KUANZIA LEO NAWEKA PEMBENI LINE YENU.Mmeamua kutuumiza wateja wenu.