Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

Mi niligharamia elfu 10 laini ya chuo halafu wamekiondoa kifurushi. Kesho naenda halotel au ttcl kupata ufafanuzi wa MNP kuhama mtandao na namba yako mazima.
 
Mafala sana haya majamaa nmejiunga kifurush cha buku et yamenipa dakika 75 za kuongea kuanzia saa tano usiku mpaka saa kumi na moja alfajili kesho nanunua ttcl kesho
 
Ni kwamba hatufanani kila mtu ana kipato chake na majukumu yake .

Wacha wanaonua hizo bundles za 30k waendelee kuwanufaisha hao tigo
ila wengine twende kwingne kwny unafuuu .
Kabla ya kufikiria kuhama mtandao fikiria kutafuta hela zaidi...maanake naona waliolalamika ni wale wa bundles za chini ya dollar moja ila wale wa 30k uko wanaona wamepunguziwa mzigo

Thank me later!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah tigo bana, nimeamka niboost kifurushi cha wiki naona kimepanda bei.
This is not fair..!!
Hizi taarifa tutazisambaza kila social media mpaka wananchi Wote wajue
 
Back
Top Bottom