Ufafanuzi please.Hama na namba yako mkuu!, fanya kitu inaitwa portability, namba yako yooote inahama kwenda popote. Na Tigo watajua kuwa umehama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiondoe tu, mtu husomi chuo, lakini unakuwa na line ya mwanachuoBinafsi juzi nimehangaika kuangalia kifurushi cha chuo kwene menu zangu lkn nimekikosa hali yakua laini yangu niyamwanachuo hadi leo sikipati
Ngoja nirudishe laini ya tigo. Hizi bando ni rafiki sana... ila tatizo internet yao inakatika mapema sanaMbona mimi naona tigo wamekua nafuu sana tofauti na mwanzoView attachment 1333286View attachment 1333287View attachment 1333288
Wana wateja 12mil wewe na hao wenzako wala hawawatishiDaah tigo bana, nimeamka niboost kifurushi cha wiki naona kimepanda bei.
This is not fair..!!
Hizi taarifa tutazisambaza kila social media mpaka wananchi Wote wajue
Ni upuuzi kujiunga kifurushi cha 5000 unapewa SMS 50...
Yaani kifurushi cha 5000 nijiunge tena na cha SMS?
Upumbavu huu
Bila shaka unatumia muda mwingi mtandaoni. Inakuingizia chochote lakini ??
Heee,, nifundishe vizurHama na namba yako mkuu!, fanya kitu inaitwa portability, namba yako yooote inahama kwenda popote. Na Tigo watajua kuwa umehama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisha isahau kitambo Sana hyo lain ya tigoTIGO KUANZIA LEO NAWEKA PEMBENI LINE YENU.Mmeamua kutuumiza wateja wenu.
Asee...Mimi mchana nimehangaika kutafuta kifurushi cha chuo[emoji134] bila mafanikio.
Tigo wamezingua sana kutoa kifurushi cha Chuo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi tuchujulie namba yako ya tigo ni 0713xxxxxx, na watu wako wa karibu au wadau na wateja wameizoea hiyo namba, zamani kikwazo kilikua ukihama mtandao unapoteza na namba pia, itabidi uwajulishe watu namba Mpya!Heee,, nifundishe vizur
Nimeshatoa ufafanuzi, kwa kuongezea tu unaweza hamia kwenda mtandao wowote unapoona nafuu kwako, ila namba kwa sasa ni Mali yako
Bakini hukohuko, tukijazana huku halotel watapandisha tena bei ya vifurushiKesho naenda kusajili laini ya Halotel tigo naiweka pembeni
TTCL ndio hovyooo acha tu, jana nimejiunga kifurushi cha toboa night internet yake mawenge kik*ma yani. Mpaka sasa hivi nimeamua hiyo laini iwe kwenye rooter ili isipotee tu. Mie nipo halotel na nitabaki halotel labda nawao waanze kubadilika.
Happy dude [emoji67][emoji538]